Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha
Naona makubwa yanafanyika
Anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu
Muujiza wa kwanza
Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni
Mahubiri ni mazuri mno
Nitakuwa reporter leo
Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.Maigizo Gani?
Viwete wanatembea
Amen
Kafie mbele huko!Niko nafuatilia mkutano wa injili wa mwamposa huko Arusha
Naona makubwa yanafanyika
Anavohubiri neno liko sawa
Ana nguvu za Mungu
Muujiza wa kwanza
Mwanamke mjazito aliyepitiliza muda wa kujifingua, Sasa Leo kapata uchungu na anajifungua.
Mkuu wa mkoa ameshawafika mkutanoni
Mahubiri ni mazuri mno
Nitakuwa reporter leo
Wajinga hawaishi mkuu!Aiseee wajinga hawaishi...yaani bado unaamini maigizo ya hao MATAPELI?
Dktari aliwahi kuja nyumbani kwako bila kumuita kukutibu? Hata hivyo sio kila mtu maombi yanafanya kazi kwake.SIKU WAKIENDA HOSPITAL KUPONYA WAGONJWA NA KUKUSANYA VILEMA NA KUWAPONYA NTAAMINI WANATENDA MIUJIZA KWELI