Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kwahiyo shughuli za serekali zinapewa jina lake?! Ama zinafanyika kwa fedha zake binafsi?Yeye ndiye kiongozi wa Serikali au unapinga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo shughuli za serekali zinapewa jina lake?! Ama zinafanyika kwa fedha zake binafsi?Yeye ndiye kiongozi wa Serikali au unapinga?
Kwahiyo Nyerere Foundation, Mkapa Foundation, Kuna Kikwete Bridge, Kuna Magufuli Bridge Kuna Hostel za Magufuli. Au mwenzetu haupo Tanzania?Kwahiyo shughuli za serekali zinapewa jina lake?! Ama zinafanyika kwa fedha zake binafsi?
Nimecheka kwa nguvu. Ila siasa za kiki ni hatari.Kwahiyo Nyerere Foundation, Mkapa Foundation, Kuna Kikwete Bridge, Kuna Magufuli Bridge Kuna Hostel za Magufuli. Au mwenzetu haupo Tanzania?
Tatizo lako Mbowe ame ku brainwash. Je, unaweza kutumia ubongo wako binafsi?Nimecheka kwa nguvu. Ila siasa za kiki ni hatari.
Kwakuwa ww ni chawa wa mama, unadhani Kila mmoja ni chawa wa mtu kama ulivyo ww.Tatizo lako Mbowe ame ku brainwash. Je, unaweza kutumia ubongo wako binafsi?
Hizo ndizo akili alizokupatia Mbowe. Pole sana. BadilikaKwakuwa ww ni chawa wa mama, unadhani Kila mmoja ni chawa wa mtu kama ulivyo ww.
Ni kweli, nitabadilika niwe chawa kama ww.Hizo ndizo akili alizokupatia Mbowe. Pole sana. Badilika
NIkuulize swali.Ni kweli, nitabadilika niwe chawa kama ww.
Ni mtu anayejipendekeza kwa viongozi ili kusaka maslahi binafsi, mfano halisi ni wewe.NIkuulize swali.
Nini maana ya chawa?
Wewe unajipendekeza kwa nani?Ni mtu anayejipendekeza kwa viongozi ili kusaka maslahi binafsi, mfano halisi ni wewe.
Kwa mke wangu.Wewe unajipendekeza kwa nani?
Kwahiyo wewe ni Marioo? Unalelewa na shuga mami?Kwa mke wangu.
Unauliza hirizi Tanga?Kwahiyo wewe ni Marioo? Unalelewa na shuga mami?
Angewapq huo msaada watu wa ngorongoro walikuwa ktk uhitaji mkubwaa sanaaaa.View attachment 2869817
Mama Samia Legal Aid Campaign imejidhatiti kuwasaidia Wananchi kwa kuwapatia huduma ya Msaada wa kisheria maeneo walipo katika migogoro ya ardhi, ndoa, mirathi utawala, matunzo ya watoto, ukatili wa Kijinsia n.k.
Kampeni hiyo ambayo kwa sasa inatekelezwa Mkoani Singida
Yenye malengo ya kufikia jumla ya Kata 70 na vijiji 210 vya mkoa Mkoa huo ni Azma ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kuhakikisha kwamba kila mwananchi anafahamu masuala ya kisheria ikiwemo haki na wajibu wake na kwamba kila mwananchi anaifikia haki na wasiokuwa na uwezo wa kumudu gharama za mawakili basi waweze kufikia haki kupitia huduma za msaada wa kisheria.
Kwa muktadha huu, Mhe. Rais ametuelekeza kuhakikisha msaada wa kisheria unatolewa kwa wananchi wote hususani kundi la wanyonge na wasiokuwa na uwezo ili kupata haki, usawa, amani na maendeleo, Kama mnavyofahamu, nchi yetu imeendelea kupiga hatua kubwa katika utekelezaji wa Haki za Binadamu na Msaada wa Kisheria nchini;
Hivyo, Mhe. Rais anataka kuendelea kuona kuwa Tanzania inaendelea kuwa nchi tulivu na yenye amani kwa kuwawezesha Wananchi sio tu kupata msaada wa kisheria bali kuwaelimisha kuhusu haki zao na wajibu wao kwa Taifa. Kila mmoja wetu akifahamu vizuri haki zake na wajibu wake, ndipo nchi yetu itasonga mbele kiuchumi.
Serikakali imejipanga kikamilifu katika kuhakakisha kuwa wananchi wa Tanzania wananufaika na Mama Samia Legal Aid Campaign na kuhakikisha kuwa inawafikia wananchi wote hapa nchini.
Utekelezaji wa Kampeni hiyo umekuwa na mafanikio makubwa, tangu imeanza kutekelezwa mwezi Aprili, 2023. Hadi kufikia tarehe 30 Oktoba, 2023, Mama Samia Legal Aid Campaign imefikia mikoa mitano (05) ya Dodoma, Manyara, Shinyanga, Ruvuma na Simiyu ambapo jumla Halmashauri 35, Kata 397 na Vijiji/ Mitaa 1,046 imefikiwa katika utekelezaji wa Kampeni hiyo; Katika mikoa hiyo mitano, jumla ya wananchi 362,488 (Wanaume 179,874 wananwake 182,615 ) wamefikiwa kupitia elimu ya kisheria na huduma nyingine za kisheria.
Oooh! nina uhakika uwezo wako wa kudadavua mambo lazima umuulize huyo shuga mami. Nilikuwa nashangaa kwanini uwezo wako wa kuchanganua mambo ni finyu kiasi hicho.Unauliza hirizi Tanga?
Watafikiwa. Endelea kuwa na subiraAngewapq huo msaada watu wa ngorongoro walikuwa ktk uhitaji mkubwaa sanaaaa.
Ni kweli, huu wako uko juu kutokana na maelekezo ya mumeo.Oooh! nina uhakika uwezo wako wa kudadavua mambo lazima umuulize huyo shuga mami. Nilikuwa nashangaa kwanini uwezo wako wa kuchanganua mambo ni finyu kiasi hicho.
SASA NIMEELEWA
Bahati mbaya mimi ni mwanaume. Mambo yenu ya LGBTQ sisi watanzania hatuyataki.Ni kweli, huu wako uko juu kutokana na maelekezo ya mumeo.
Hakuna mwanaume anajipendekeza kama ww. Labda ni dume jike.Bahati mbaya mimi ni mwanaume. Mambo yenu ya LGBTQ sisi watanzania hatuyataki.