Pre GE2025 Anayoyafanya Rais Dr Samia Suluhu Hassan kuwapa msaada wa kisheria wananchi vijijini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahiyo shughuli za serekali zinapewa jina lake?! Ama zinafanyika kwa fedha zake binafsi?
Kwahiyo Nyerere Foundation, Mkapa Foundation, Kuna Kikwete Bridge, Kuna Magufuli Bridge Kuna Hostel za Magufuli. Au mwenzetu haupo Tanzania?
 
Kwahiyo Nyerere Foundation, Mkapa Foundation, Kuna Kikwete Bridge, Kuna Magufuli Bridge Kuna Hostel za Magufuli. Au mwenzetu haupo Tanzania?
Nimecheka kwa nguvu. Ila siasa za kiki ni hatari.
 
Angewapq huo msaada watu wa ngorongoro walikuwa ktk uhitaji mkubwaa sanaaaa.
 
Unauliza hirizi Tanga?
Oooh! nina uhakika uwezo wako wa kudadavua mambo lazima umuulize huyo shuga mami. Nilikuwa nashangaa kwanini uwezo wako wa kuchanganua mambo ni finyu kiasi hicho.

SASA NIMEELEWA
 
Oooh! nina uhakika uwezo wako wa kudadavua mambo lazima umuulize huyo shuga mami. Nilikuwa nashangaa kwanini uwezo wako wa kuchanganua mambo ni finyu kiasi hicho.

SASA NIMEELEWA
Ni kweli, huu wako uko juu kutokana na maelekezo ya mumeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…