MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,294
- 4,920
Dah ila mbona kusifia anaweza?Mwinyi umri umeenda!
Atakosoaje kusifia wakati familia yake inaneemeka kwa utawala uliopo ?Dah ila mbona kusifia anaweza?
Sababu kubwa ni uadilifu..Kwa miaka ya karibuni hali hii imekua tofauti. Huwezi kusikia wastaafu waliopo kuzungumzia mambo au kukemea maovu yanapofanywa na walioko madarakani. Je ni woga, kupuuza au ni sehemu ya wale wanaofanya kinyume?
Jamaa alikua bandidu sana,wakat kashika mpini wote waliomkosoa au kwenda kinyume na mtazamo wake walihenyeshwa lkn baada ya kukaa pemben akawa ndio masta wa kukosoaWale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo.
Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi. Hii ilionyesha uwajibikaji kwa kiongozi mstaafu na iliwakumbusha walioko madarakani majukumu yao.
Kwa miaka ya karibuni hali hii imekua tofauti. Huwezi kusikia wastaafu waliopo kuzungumzia mambo au kukemea maovu yanapofanywa na walioko madarakani. Je ni woga, kupuuza au ni sehemu ya wale wanaofanya kinyume?
Hata wewe unaneemeka shemeji yako si analipwa vyema!Atakosoaje kusifia wakati familia yake inaneemeka kwa utawala uliopo ?
Punguza hasira wewe dogo maana mimi siyo niliye ileta coronaHata wewe unaneemeka shemeji yako si analipwa vyema!
Mwinyi umri umeenda!
Kama hukuileta tuwaachie majaji watuthibitishie!Punguza hasira wewe dogo maana mimi siyo niliye ileta corona
Kwani aliyeokota urais anasemaje!?Kama hukuileta tuwaachie majaji watuthibitishie!
Sijui!Kwani aliyeokota urais anasemaje!?
Jk alijitokeza kuonya kipindi cha jpm na kutishwa na ali hepi uwenda kipindi hicho ulikuwa burundiWale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo.
Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi. Hii ilionyesha uwajibikaji kwa kiongozi mstaafu na iliwakumbusha walioko madarakani majukumu yao.
Kwa miaka ya karibuni hali hii imekua tofauti. Huwezi kusikia wastaafu waliopo kuzungumzia mambo au kukemea maovu yanapofanywa na walioko madarakani. Je ni woga, kupuuza au ni sehemu ya wale wanaofanya kinyume?
Tatizo wanakaribishwa ndani ya sinia, Nyerere ilikuwa ngumu sana kumwingiza kingi na zawadi za gari ya birthday na hekalu la rais mstaafu......utaumbuka mapema sana, acha kabisa yule mzee.Wale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo.
Ninakumbuka alipokemea kuhusu kupuuzwa kwa katiba ya nchi kipindi cha uongozi wa mzee Mwinyi. Hii ilionyesha uwajibikaji kwa kiongozi mstaafu na iliwakumbusha walioko madarakani majukumu yao.
Kwa miaka ya karibuni hali hii imekua tofauti. Huwezi kusikia wastaafu waliopo kuzungumzia mambo au kukemea maovu yanapofanywa na walioko madarakani. Je ni woga, kupuuza au ni sehemu ya wale wanaofanya kinyume?
Majaji wa kuzimu?Kama hukuileta tuwaachie majaji watuthibitishie!
Mwinyi mzee wa maslahi tu. Alisema kwa kumsifia Jiwe ili mwanaye apewe uraisWale wahenga wenzangu mtakua mnakumbuka jinsi mwl Nyerere alivyokua anaita waandishi wa habari na kuongekea mambo mbalimbali yanayohusu nchi. Hili alilifanya hasa alipoona mamba yanaenda ndivyo sivyo.