Anayoyasema Jenerali Ulimwengu yalitakiwa yasemwe na Mzee Mwinyi (Rais Mstaafu) au Kikwete

Anayoyasema Jenerali Ulimwengu yalitakiwa yasemwe na Mzee Mwinyi (Rais Mstaafu) au Kikwete


Swadakta Jenarali Swadakta!!
dj2.gif
 
Hata nyerere alijengewa nyumba alipostaafu kama kumbukumbu zangu ziko sawa. Naweza sahihishwa katika hili
Mwl. Nyerere ni mwanzilishi wa Taifa na ni Baba wa Taifa. Hakuwa na uroho wa mali. Ethics na Integrity is 100%. Hawa hawawezi kulinganishwa na Nyerere
 
JK alikuwa msafi? Mbona Nyerere aliweza?
Nyerere alikuwa na uthubutu wa kukiri kuwa aliyumba sehemu flani😅 ila sio hawa vijana wake aliowaachia nchi!

Kuanzia Mkapa akili ikawa Privatisation, viwanda yote viende kuhodhiwa na watu binafsi na kuanzisha agencies za serikali! Ndani yake kukazaliwa na kustawi kwa rushwa hadi ikabidi ianzishwe PCCCB!

Mbali na hapo ndio ufisadi na kujilimbikizia mali na maeneo ya nchi nafikiri ndio ambapo wakina Jakaya walijifunza humo! Ndio mfumo ambao uko mpaka sasa mtu akipata nafasi anajipigia tu akishtukiwa kwa sababu ni chain ya wanene wanalindana.
 
Tatizo wanakaribishwa ndani ya sinia, Nyerere ilikuwa ngumu sana kumwingiza kingi na zawadi za gari ya birthday na hekalu la rais mstaafu......utaumbuka mapema sana, acha kabisa yule mzee.
Za chini ya kapeti zinasema Yule ni babaake mzazi.. ..

Kumpa ndinga ni shukrani yake..

Yanaminywa tu!
 
Back
Top Bottom