Anayoyasema Jenerali Ulimwengu yalitakiwa yasemwe na Mzee Mwinyi (Rais Mstaafu) au Kikwete


Mwinyi na Kikwete hawawezi kukemea udhaifu wowote wa kiutawala nchi hii, maana wao na familia zao wanafaidika na udhaifu wa hiyo mifumo ya kiutawala. Tazama vizuri Mwinyi mtoto wake ni rais wa Znz, mwanae mwingine ni waziri, na wameingia madarakani kwa umwagaji damu na wizi wa kura! Kikwete mke na mtoto wake ni wabunge katika uchaguzi ulionajisiwa na wa kishenzi mno, na wote wana matumaini ya kuwa Mawaziri, hata ikibidi urais. Hivyo mifumo ikiwa imara hawawezi kufikia hayo malengo yao. Akina Jenerali wanaweza kukemea kwanza ni kwakuwa ana uwezo na ujuzi wa mambo, pili hatarajii kunufaika na mifumo mibovu ya utawala, na wala hataki.
 
Aaaaaaa na hivi walivyohongwa kwa kujengewa nyumba ndo basi tena, hatutawasikia teeena!!

Na faida ya kuwa na kiongozi aliyestaafu hakuna tena😓😓😓
 
Umeongea vyema sana ndugu yetu!
 
Mwinyi na kikwete wabajua wajibu wao unapostaafu unakaa kimya
 
Aaaaaaa na hivi walivyohongwa kwa kujengewa nyumba ndo basi tena, hatutawasikia teeena!!

Na faida ya kuwa na kiongozi aliyestaafu hakuna tena😓😓😓
Hata nyerere alijengewa nyumba alipostaafu kama kumbukumbu zangu ziko sawa. Naweza sahihishwa katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…