Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Na haoni aibu kusema... Kibaya zaidi wanyonge wanapiga makofi kama mazuzu...!Ni aibu kwa Rais wa nchi kulipiwa nauli na wafanyabiashara kwenda kikazi nje, hawa watu wakigoma kulipa kodi utawafanya nini? mambo ya hovyo kabisa
Elimu tuliyopewa imetupofusha kabisa! Hatuoni japo kusikia tunasikia!