ANC na CCM vyama vya ukombozi vilivyogeuka vichaka vya mafisadi. Vimesahau kutumikia wananchi

Ni aibu kwa Rais wa nchi kulipiwa nauli na wafanyabiashara kwenda kikazi nje, hawa watu wakigoma kulipa kodi utawafanya nini? mambo ya hovyo kabisa
Na haoni aibu kusema... Kibaya zaidi wanyonge wanapiga makofi kama mazuzu...!
Elimu tuliyopewa imetupofusha kabisa! Hatuoni japo kusikia tunasikia!
 
Ttzo sio Ccm tatzo ni chama mbadala tukiacha CCm tunamchagua nan?
 
C C M ni UGONJWA mbaya sana Kwa sasa. Nyerere mwenyewe mwenye KADI no. 1, aliwahi tishia kurudisha enzi hizo.
 
Hivyo ndivyo vilivyokuwa vyama vyote vya ukombozi.
 

Ok sawa, tangu hao DCI na DPP wawe na uwezo huo wa kushitaki KENYA ule ufisadi ambao ni zaidi ya Tanzania na upo toka enzi za KANU umeisha?..

Kaunda aliharibu uchumi, kipi kipya Zambia toka ameingia Chiluba, Mwanawasa, Hichilema nk..?
Copper, dhahabu bado mabeberu wanachimba tu..rushwa iki pale pale tena Zambia rushwa afadhali ya Tanzania iko njia nzika kuanzia Nakonde to kapili, Nakonde to Chinsali, Nakonde to Lusaka, ndola, kitwe, nk....

Usichanganye maendeleo yanayokuja kutokana na maendeleo ya dunia na maendeleo yaliuokuja kutokana na mipango madhubuti mliyojiwekea wenyewe...
 
Teh teh hata mbeya wanatumia bidhaa za Zambia na Malawi longtime ago

Ova
 
C C M ni UGONJWA mbaya sana Kwa sasa. Nyerere mwenyewe mwenye KADI no. 1, aliwahi tishia kurudisha enzi hizo.
Kinana kaja kuinusuru kwamba anakubalika Sana na wanaccm!!tena MSTAAFU wa jeshi!!!unadhani hawezi inusuru!!?
 
Kwanini wasije kuchukua kwetu vitu kama sisi tumeendelea kuliko Kenya, siamini kama mtu anaweza kutoka Dar akafuata bidhaa Singida
Lbda nichangie kidogo
Mfano ukiwa rombo mkuu wakenya
Wanakujaga kufata ndizi,mbao nk

Ova
 
Huu umejibia upumbavu wa hali ya juu,Zambia na Botswana ni mifano hai iliyobadilisha maisha ya common man on the street, ccm ni chama cha mafisadi, wanafiki na waungo wakubwa
 
Tatizo kubwa la hii nchi ni ccm.malawi na Zambia matibabu bure.na vyama tawala vimeondolewa.uku Tanzania siasa za kishamba.bunge la ccm,serikali ya ccm,mahakama ya ccm,Polisi ya ccm,rais yuko kama Mungu.utalinganisha na Kenya?? Kenya rushwa ipo lkn inachochea maendeleo.viwanda viko vingi Kenya,na uchumi uko juu.ccm wanaua,wanaiba kura,ndugai spika kaongea kweli katimliwa.unataka kipi zaidi ya kuitoa ccm??mbadala wa ccm ni CHADEMA.utake usitake ndo ukweli.hadi mkufaji maguufool anajua Hilo.take or leave
 
ccm siyo chama cha ukombozi. ni mtoto wa vyama viwili vya ukombozi TANU na ASP
 
Walipigania UHURU walipigania maslai yao binafsi kwa kuwahadaa waafrika, baada ya UHURU wakawacha waafrika solemba wakitopea kwenye ufukara zaidi kuliko hata kabla ya UHURU, huku wao na familia zao wakiishi kifahari.
 
Huu umejibia upumbavu wa hali ya juu,Zambia na Botswana ni mifano hai iliyobadilisha maisha ya common man on the street, ccm ni chama cha mafisadi, wanafiki na waungo wakubwa

naona hamnijibu bali mnapambana kwa jazba.

Ulishawahi kufika Botswana na Namibia mpaka SA....yale maendeleo ya Botswana na Namibia yameletwa na Upinzani kuchukua nchi...? au effet ya kuborder na SA ndio imeleta maendeleo?.... Pale Namibia Germany coloured na influence ya Kaburu pale walvis bay ndio imechochea maendeleo, Botswana pia Kaburu aliwekeza miaka mingi nyuma toka ukoloni... Zimbabwe kaburu na waingereza walivyokuwa wanatawala biashara Zim ilikuwa na maedeleo huku ZANU PF ikiwa madarakani, pale Mugabe alipowavuruga Weupe aka wazungu nao wakamvuruga..

Zambia ina nini Kipya kwenye maendeleo ya watu wake kuwadhidi watanzania?, Zambia wameanza kuchimba migodi long fucker nyuma ya 1970's huko mpaka leo wana projects kuubwa za mining kuliko TZ....mpaka leo hii tunavyozungumza hamna jipya Zambia ambalo utasema limebadilishwa na wanasiasa baada ya upinzani kutake over..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…