GE2025 ANC waisagia CCM, wasema walifika Tanzania lakini hawakuweza kufanya uangalizi wa Uchaguzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Soma barua yao:

2a2fa8f3-faac-419d-863d-a0e0644719b2.jpeg
 
Kunavitu mwanadam anaweza akafanya hadi shetani mwenyewe anaogopa 🤣🤣

Ndiyo maana hata Waziri wa mambo ya nje wakati anafanya mawasiliano kunaeneo alikuwa anaogopa kusema kitu zaidi ya kusema ngoja tusubirie report kutoka kwa waangalizi wakimataifa .

Ila tuache utani wazee kilichofanyika hata CCM wenyewe hawakuwa wamekitegemea coz dah! 🤣
 
Hatari sana
 
JAMBO LILILONITISHA NI KWAMBA SASA UGAIDI UMEANZA RASMI.

NIMESIKILIZA MIJADALA MBALIMBALI KWENYE CLUB HOUSE NA MARIA SPACES NA KUJIRIDHISHA KUWA MAANDAMANO YALIRATIBIWA KWA UMAKINI MKUBWA.
NA SASA HAO WAANDAMANAJI WAMEAZIMIA KUANZA MASHAMBULIZI YA KIMYA KIMYA DHIDI YA VIONGOZI WA CCM WA NGAZI ZOTE, WABUNGE, MADIWANI, VIONGOZI WA SERIKALI KAMA VILE WAKUU WA MIKOA, WILAYA NA WATENDAJI WA MITAA, VIJIJI NA KATA.

PIA POLISI WA AINA YOYOTE AKIZUBAA MAHALI POPOTE ANASUGHULIKIWA KWA MISHALE YENYE SUMU KALI (SULPHURIC ACID)

KUTAKUWA PIA KUNAKULIPUA MAJENGO YA SERIKALI NA MIUNDOMBINU YA BIASHARA YA WATU WOTE WENYE UHUSIANO NA CCM AU SERIKALI.

NAAAMINI SISI CCM HATUWEZI KUJILINDA NA HATA VYOMBO VYA DOLA HAVINAUWEZO WA KULINDA MAENEO YOTE HAYO.

NASHAURI VIONGOZI WA CHAMA CHANGU NA SERIKALI YAKE WAFANYE MARIDHIANO HARAKA IWEZEKANAVYO.VIONGINEVYO TUTAANZA KUONA MILIPUKO NA MAUAJI YA KUSHTUKIZA MUDA SI MREFU.
 
Wanasajili wapi hao watu,, maana kuna mtu hapa mtaani anakiherehere sana na ccm
 
Wanasema walikosa mawasiliano na wenzao wa ccm hapa naanza kumuelewa polepole alisema ni kama chama hakikuwepo kwenye uchaguzi na aliyekuwa anaratibu kampeni ni mtoto
 
Back
Top Bottom