Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

Yes, Germans ni wabaguzi sana mkuu. Kuna ndugu yangu alisomaga huko zamani aliwahi kutusimulia
Sasa umeelewa kwanini mie nimegoma kununua vitabu vyako vya kujifunzia Gutentag!
Wabaguzi lugha yao hata tukiijua haitisaidii kitu!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Sasa umeelewa kwanini mie nimegoma kununua vitabu vyako vya kujifunzia Gutentag!
Wabaguzi lugha yao hata tukiijua haitisaidii kitu!
Hahahahaaaaaaa mzee baba nunua vitabu. Mbona hata waafrika bado tunabaguana kwa misingi ya dini na makabila yetu.
 
Kwanza nimekumbuka. Mjerumani hakuwaua waisraeli halisi. Waisraeli halisi ni waafrika weusi". Marekani ndo anaua waafrica kupitia Ukimwi. Siku zake zinahesabika na Mchina ata take over nafasi ya mmarekani. Mark my words!!!!!
Mnachanganya bhangi,gongo na viroba. Lazima uwe hivi.😂😂😂😂
 
Haya na wewe kaue ndugu zako ili uwe na Uchumi mkubwa
 
Mkuu kwani laana ni nini?
Kuwa na laana kuna uhusiano Gani na umaskini (upungufu wa material things)?
Ni criteria zipi zinatumika kuqualify kuwa umebarikiwa na Mungu na hujalaaniwa?
Hakuna matajiri waliolaaniwa?
Hakuna maskini wanaoqualify kubarikiwa?
 
mbona wayahudi miaka ya nyuma waliua watu wengi pengine hata kuzidi hao..kwani wao kuua ni sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…