Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

Kwanini niwe na uhakika wakati hujataja sababu zilizokufanya ulete hoja ya laana kwa Ujerumani?!
Sababu iliyonifanya nilete hoja ya laana kwa Ujerumani mbona ipo wazi sana mkuu.

Tatizo lako wewe jamaa huwa hausomi content vizuri. Ukishasoma heading tu baaas unakimbilia kujibu hoja matokeo yake ndio kama haya sasa, unaingia chaka.

Badilika mkuu.
 
Kwanini niwe na uhakika wakati hujataja sababu zilizokufanya ulete hoja ya laana kwa Ujerumani?!
Sababu iliyonifanya nilete hoja ya laana kwa Ujerumani ni kutaka kujua hii dhana ya laana ya asili ni halisi ama mfu, na ina nguvu gani katika maisha ya sasa na baadae ya mwanadamu?!!!
 
Tokea kabla ya Kristo wayahudi wamekuwa wakiadhibiwa kwa namna tofauti wanapomwasi Mungu- walipewa nchi ya ahadi wao wakawa wanasambaa kila mahali sasa hiyo laana inaweza kumpata Mjerumani kweli?
 
Hiyo laana ya sili ipo kwa waliouliwa, hawa wayahudi ni watu fitna mbaya sana, kwa sasa kila vita na matukio ya mauaji makubwa duniani ni wao ndio wanaohusika kwa njia moja au nyingine.
Laana yao ilianza miaka mingi na Mungu akawasamehe wakati wa Firauni na wakaalianzisha tena ndio wakapewa kipigo cha pili toka kwa Mjerumani mpaka wakasamehewa tena sasa tunawaona na kushuhudia fitna na mauaji wanayoyaendeleza kwa majirani zao kwa madai ya kujihami na jinsi wanavyo wabagua na kuwadhalilisha Wapelestina tunasubiri kipigo cha mwisho na ndio watasambaratishwa vibaya sana
 
Tokea kabla ya Kristo wayahudi wamekuwa wakiadhibiwa kwa namna tofauti wanapomwasi Mungu- walipewa nchi ya ahadi wao wakawa wanasambaa kila mahali sasa hiyo laana inaweza kumpata Mjerumani kweli?
Mkuu, je, una imani juu ya hii dhana ya laana ya asili? ni halisi ama mfu? na ina nguvu gani katika maisha ya sasa na baadae ya mwanadamu?!!!
 
Kuna baadhi ya watu na nchi nyingine duniani humu wanasema holocaust is a hoax. Kwamba hakuna Wayahudi milioni 6 waliouliwa. Hizo figure ni siasa zenye makusudio maalum na dunia inaaminishwa hivyo kwa sababu za kifisadi
Hii comment niliisubiri sana. Hitler kweli aliwaua wayahaudi wa ulaya na si wayahudi tu.
Lakini pia si iwa idadi inayozungumzwa, Wayahudi wamejaliwa sana kwenye propaganda huenda kuna hidden agenda ya wao kudanganya figure. Walikuwa na maana yao ambayo huenda sisi hatuijui.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kama hoja yako haitokani na porojo za ukiifanyia ubaya Israel unalaaniwa, suala lako la kwamba kuua roho za watu kunaleta laana umelitoa wapi?!
Ndio maana huwa ninasemaga kuwa wewe unakurupuka sana mkuu.

Mbona kila kitu nimeandika katika bandiko langu number moja ukurasa wa kwanza?

Laana ya Asili kama inavyofafanulia na Mtumishi Joel Osteen (American Preacher & Televangelist)
=============
Laana ya vizazi inaaminika kutithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa sababu ya uasi dhidi ya Mungu. Ikiwa ukoo wako umepewa laana ya talaka, uchumba, umaskini, hasira au mifumo mingine isiyo ya kimungu, unaweza kuwa chini ya laana ya ukoo.

Familia zetu zina ushawishi mkubwa juu ya maendeleo yetu, pamoja na ukuzaji wa mifumo yetu ya dhambi. Watu wengine wanadai kwamba laana za kifamilia au kizazi hupitishwa kwa njia ya kizazi.

Imani hii inatokana na vifungu vya Agano la Kale ambavyo vinasema kwamba Mungu "huwaadhibu watoto na watoto wao kwa dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne" (Kutoka 34: 7).

Ikiwa familia zinarithi laana za kiroho au la, ni dhahiri kwamba mifumo ya dhambi hupitishwa kupitia familia. Kila mtu hutenda dhambi; lakini kama vile utamaduni, kabila, na jinsia zinavyoongoza mwelekeo wetu wa dhambi katika mwelekeo fulani, ndivyo pia familia zetu.

Tunarithi tabia nyingi na mapenzi ya kitu fulani kutoka kwa wazazi wetu ambao sio ushawishi mzuri kwetu au kwa wengine. Tunapopata tabia ya imani au imani ambayo inaathiri vibaya maisha yetu au wale wanaotuzunguka, hii inajulikana kama laana ya kizazi. Ni upande uliojificha wa tabia uliopitishwa kupitia vizazi.

KIINGEREZA KIDOGO: Many Africans, Christian or not, live in fear of generational curses. When misfortunes hit, they want to know who might have bewitched them.

Non-Christians may turn to the witchdoctor while believers seek a deliverance minister to diagnose their problem and prescribe necessary spiritual steps forward. But why is this so?...
 
Kama hoja yako haitokani na porojo za Israel ni Taifa Teule, kwanini hukumtaja Stalin ambae anaaminika kuwa ndie ameua rohho nyingi zaidi pengine kuliko hata huyo Hitler?!
Kwanini nihoji masuala ya Stalin wakati Russia sio European Powehouse ya Western Bloc?...
 
Ujerumani ina nguvu za kiuchumi lakini haina nguvu za kijeshi.
Baada ya WW2 jeshi lao waliliasi
 
Sio Germany ni HITLER wachache waliokuwa wake. Karma IPO labda uitafute familia ya Hitler ndio watakupa majibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…