Ancestral Curse: Ujerumani iliwaua Wayahudi zaidi ya Milioni 6, lakini ndio nchi yenye nguvu zaidi Ulaya. Je, hii dhana ya laana ya asili ipo sahihi?

Upo sahihi mkuu. Ndio maana nimehoji juu ya dhambi ya mababu kwa Ujerumani na sio Hitler pekee.

Huyo jamaa hapo juu alikuwa anachanganya watu tu humu for no good reasons.
Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Magufuli ame wa outsmart kwa kila kitu.
 
Chadema walilamikia ufisadi ila Magufuli ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.
 
Wamewaua Wayahudi waluomuua/msulubu Jesus kwa hiyo hakuna matata hapo
Jesus alitikisa kibiriti cha Roman Empire...Wenye Askari katili Wenye vijogoo kichwani walio tayari kufa kwa ajili ya kulinda Utawala wa Roman Empire...!
 
Rais Magufuli kaza hapo hapo usigeuke nyuma, Watanzania wengi hawajui wanataka nini.
 
Dhana ya laana,

Wazembe wa Kutafakari ndio Wanaipa Nafasi..!


Changamoto za Maisha Watu wanazipachika Jina-Laana..!
 
Upo sahihi mkuu. Ndio maana nimehoji juu ya dhambi ya mababu kwa Ujerumani na sio Hitler pekee.

Huyo jamaa hapo juu alikuwa anachanganya watu tu humu for no good reasons.
Rais Magufuli amefanya maamuzi sahihi sana kwa kununua ndege mpya.
 
Upo sahihi mkuu. Ndio maana nimehoji juu ya dhambi ya mababu kwa Ujerumani na sio Hitler pekee.

Huyo jamaa hapo juu alikuwa anachanganya watu tu humu for no good reasons.
Hahaha hizo hasira watazionyesha kwa lissu kutokana na kusaliti Nchi yetu.
 
Dhana ya taifa fulani ni takatifu ni dhana ya kikoloni na kibaguzi inayoruhusu tabaka fulani kutawala tabaka jingine!!yaani ni full uongo kama dini hizi za kisasa!!!
 
Upo sahihi mkuu. Ndio maana nimehoji juu ya dhambi ya mababu kwa Ujerumani na sio Hitler pekee.

Huyo jamaa hapo juu alikuwa anachanganya watu tu humu for no good reasons.
Nitaamrisha watoto wangu kila moja aite mtoto wake moja jina Magufuli Hili jina limejaa uzalendo.
 
Kwanini unadhani badala ya kuwa na uhakika?...
Hapa unakosea. Mwenyewe umeleta hoja ya kufikirika, ni dhana tu hiyo laana, kisha unataka kuwepo na hakika. Kwa aina ya swali lako, usitegemee kupata facts bali maoni zaidi. Cha msingi ni kupata maoni yaliyojengwa kwa hoja madhubuti.

Nitamshangaa mchangiaji atakaekuja na majibu anayoamini ni facts. Kumbuka wala si lazima binadamu wote waamini dhana hii ya laana. Hili ni suala la kiimani kama si utamaduni.

Asante
 
Hitler aliteketeza roho za watu achana na suala la Uyahudi kwanza. Kwanini hawa jamaa hawatafunwi na laana ya babu zao na badala yake wanazidi kuneemeka kiuchumi?...
Kwa nini Marekani na ulaya haitafunwi na dhambi ya Utumwa ni Swali lililokaribu zaidi na wewe.
 
Mkuu mauaji Yale yalikuwa ni mission maalumu.
Na kubwa zaidi ilikuwa ni njia ya kutimizwa kwa unabii.
Ikiwa mtoa laana aliyabariki nadhani hakuna haja ya laana
 
Hiyo laana ya asili iko hapo kwenu Afrika tu mbona waarabu walikamata watu kama kuku wakawafira,kuwabaka,kuwachinja,kuwahasi na kuwafanyia ukatili wa kila rangi lakini leo angalia wanavyokula bata kule Saudia
 
CHADEMA Wajifunze siasa safi kama za Magufuli la sivyo wataishia lupango.
 
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa sana huyu baba. Anahitaji sana pongezi.
 
Wa
walioua ni Hitler na wanachama wake wa chama cha Nazi siyo wajerumani in general maana hata hao Wajerumani waliuwawa na manazi. After all wayahudi nao walikuwa ktk curse ya kutawanywa dunia nzima na kuteswa na watesi
 
Bila Rais Magufuli kupiga ukuta Laizer asingekuwa bilionea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…