Andaeni mdahalo kati za Mzee Wassira na Heche. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni

Andaeni mdahalo kati za Mzee Wassira na Heche. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni

Akilindogosana

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2020
Posts
4,303
Reaction score
12,679
Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri

Mdahalo uzungumzie
1. Masuala ya vijana
2. Hali ya kiuchumi
3. Ukosefu wa ajira
4.

Nyingine muongezee
 
Wassira atafutiwe Babu mwenzie sisawa Babu wamiaka 80 kubishana na kijana wa 40s wazee wajue kupumzika kama hajaridhika naajira koote huko Leo ndoataridhika?? Shame!!
 
Mzee Wasira ambaye hawezi kuketi kwa dakika 3 bila kusinzia, anaweza kuwa na hoja za maana kweli?
 
Wasira mzee na busara kibao huwezi muweka sehemu moja na bangi za Heche
 
Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri

Mdahalo uzungumzie
1. Masuala ya vijana
2. Hali ya kiuchumi
3. Ukosefu wa ajira
4.

Nyingine muongezee
Host awe Chief Odemba
 
Heche atafutiwe muhuni mwenzake na sio Mzee Wasira. Binamu Bananga anamtosha Heche.
 
Back
Top Bottom