Andaeni mdahalo kati za Mzee Wassira na Heche. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni

Andaeni mdahalo kati za Mzee Wassira na Heche. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni

CCM ya leo haina uwezo wowote wa kujibu hoja - hawawezi kukubali mjukuu amdhalilishe babu yake.
 
Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri

Mdahalo uzungumzie
1. Masuala ya vijana
2. Hali ya kiuchumi
3. Ukosefu wa ajira
4.

Nyingine muongezee
fisiem hawezi kukubali mzee wa watu aondoke na kisukari
 
Back
Top Bottom