Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
OkayAjenda nyingine iwe Katiba mpya na Uchaguzi huru.
"GARI NI INJINI SIYO BODI" - Wassira
Anasema bado yuko vizuri. Anasema gari sio bodi ni engineWassira atafutiwe Babu mwenzie sisawa Babu wamiaka 80 kubishana na kijana wa 40s wazee wajue kupumzika kama hajaridhika naajira koote huko Leo ndoataridhika?? Shame!!
Host awe Chief OdembaWahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri
Mdahalo uzungumzie
1. Masuala ya vijana
2. Hali ya kiuchumi
3. Ukosefu wa ajira
4.
Nyingine muongezee
Anatia aibu miaka 70 yupo kwenye utumishi wa umma huku anataka vijana wajiajiri, kwanza umri amefoji atakuwa na miaka zaidi ya 108Anasema bado yuko vizuri. Anasema gari sio bodi ni engine
Mdahalo uwe kwa lugha ya kiingereza ili Dunia ijue kati ya Heche na Wassira nani mweupe katika anga za kimataifa maana kelele zote za Chadema ni kulalamika international community.PumbavuAnatia aibu miaka 70 yupo kwenye utumishi wa umma huku anataka vijana wajiajiri, kwanza umri amefoji atakuwa na miaka zaidi ya 108
Wasira ataenda kumpiga ngumi OdembaHost awe Chief Odemba
UWT tangu lini mnajua kiingereza?Mdahalo uwe kwa lugha ya kiingereza ili Dunia ijue kati ya Heche na Wassira nani mweupe katika anga za kimataifa maana kelele zote za Chadema ni kulalamika international community.Pumbavu
Hana nguvu hawezi kurusha ngumi tena miaka 108 siyo mchezoWasira ataenda kumpiga ngumi Odemba
Kiingereza kikitumika itakuwa ni uonevu kwa Heche.Mdahalo uwe kwa lugha ya kiingereza ili Dunia ijue kati ya Heche na Wassira nani mweupe katika anga za kimataifa maana kelele zote za Chadema ni kulalamika international community.Pumbavu
🤣 kuna watu wanadai ana miaka 83 hadi 85+Anatia aibu miaka 70 yupo kwenye utumishi wa umma huku anataka vijana wajiajiri, kwanza umri amefoji atakuwa na miaka zaidi ya 108
Hapana huyu rika lake 99% walishakufa kitambo sn ni rika la akina Nyerere huyu Wasira🤣 kuna watu wanadai ana miaka 83 hadi 85+
Wazee wengi walijipunguzia miaka mitano ili wapate scholarship ulaya enzi hizo
Huyu chizi ana point gani?Heche atafutiwe muhuni mwenzake na sio Mzee Wasira. Binamu Bananga anamtosha Heche.