F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jan 30, 2025 #21 CCM ya leo haina uwezo wowote wa kujibu hoja - hawawezi kukubali mjukuu amdhalilishe babu yake.
Nyanje JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 763 Reaction score 680 Jan 30, 2025 #22 Erythrocyte said: Ajenda nyingine iwe Katiba mpya na Uchaguzi huru. "GARI NI INJINI SIYO BODI" - Wassira Click to expand... huyu kikongwe anajifariji hata injini ina saizi,wasira ni saizi ya mwisho.
Erythrocyte said: Ajenda nyingine iwe Katiba mpya na Uchaguzi huru. "GARI NI INJINI SIYO BODI" - Wassira Click to expand... huyu kikongwe anajifariji hata injini ina saizi,wasira ni saizi ya mwisho.
Nyanje JF-Expert Member Joined Jul 25, 2013 Posts 763 Reaction score 680 Jan 30, 2025 #23 Akilindogosana said: Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri Mdahalo uzungumzie 1. Masuala ya vijana 2. Hali ya kiuchumi 3. Ukosefu wa ajira 4. Nyingine muongezee Click to expand... fisiem hawezi kukubali mzee wa watu aondoke na kisukari
Akilindogosana said: Wahusika andaeni mdahalo kati ya Heche na Mzee Wassira. Uwe live kwenye tv, radio na mitandaoni. Chief odemba uwepo. Watiane spana vizuri Mdahalo uzungumzie 1. Masuala ya vijana 2. Hali ya kiuchumi 3. Ukosefu wa ajira 4. Nyingine muongezee Click to expand... fisiem hawezi kukubali mzee wa watu aondoke na kisukari
Akilindogosana JF-Expert Member Joined Jan 12, 2020 Posts 4,303 Reaction score 12,679 Jan 30, 2025 Thread starter #24 Nyanje said: fisiem hawezi kukubali mzee wa watu aondoke na kisukari Click to expand... 🤣