Andika kauli au msemo mmoja unaoukumbuka kutoka kwa hayati Magufuli

Andika kauli au msemo mmoja unaoukumbuka kutoka kwa hayati Magufuli

ntuchake

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
408
Reaction score
1,549
Andika msemo au kauli moja kutoka kwa raisi wetu kipenzi cha watanzania Pombe Magufuli ambao unaukumbuka. Andika msemo huo mpaka msomaji akisoma asisimke ausome msemo huo kwa sauti ya Magufuli.

Mie naanza " Mimi nataka kama ni kunipenda, mnipende kwa ajili ya kazi. Kama ni kunichukia mnichukie kwa ajili ya kazi. Lakini nataka niwaambie ndugu zangu wa ukerewe na watanzania kwa ujumla, kwa haya tunayoyafanya matokeo yake mtayaona. Siku moja mtakuja kuzungumza alikuwepo kamagufuli"

"Basi kama tumerogwa mtuombee nyinyi mapadri, wachungaji, mashehe kama ni mapepo basi yaondoke. Na ndo maana mtu ukizungumza kutetea maslai ya nchi unaonekana you are different. Mtu amechaguliwa na watu unakuta kwenye jimbo lake umasikini mkubwa lakini anatetea haya ya upumbavu ( ufisadi). Maslai ya nchi is not politics, ni watu tuonaowaongoza"

"Na nataka niwaeleze ndugu zangu mimi sipendi sana kusafiri kwa sababu ninapenda kubana matumizi, nimealikwa sehem nyingi nimealikwa Ulaya na sehem zingine bado sijaenda"

Wee unakumbuka msemo gani wa Mgufuli?
 
Mtanikumbuka na ni kweli kabisa Kwa Sasa tunamkumbuka .Nchi imerithishwa na tapeli la uarabuni na linauza maeneo Kwa waarabu
 
Asaramareku ndugu zangu
FB_IMG_1724269947833.jpg
 
JPM akiwafundisha watu kukwepa ushuru wa mazao.Aliwaambia usibebe tani 1 kwa mkupuo watakudai tozo.Bebe kidogo kidogo .Ukikutana na hao wakusanya tozo wakikuomba tozo wajibu ' kichwa kama tozo' halafu chapa lapa.
 
Nakupa gari na nyumba halafu utangaze mpinzani kashinda....! TULIKUWA RAIS WA HOVYO SN AISEE MAJITU YA CCM YOTE YANAPENDA CCM NA MASLAHI YAO KULIKO TAIFA HILI NA WATZ NDO TUMEKUWA WAJINGA AFRIKA NZMA.
 
Back
Top Bottom