Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo

Andika kazi ya mme/mke wako ambayo unataka awe nayo

Kweli, kwanini labda....[emoji848][emoji848][emoji848]
Evening lady,
Kweli kabisaa jamani my dear!!
Nawapenda tuu walimu jamani, wanarudi nyumbani kwa wakati, wana muda mrefu wa kupumzika nazungumzia likizo! Kwenye suala la malezi utakuwa umenielewa vyema!

Seriously, natamani future husband awe mwalimu!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mejikuta nacheka tuuu aki! Am sorry my dear
Usijari kabisa my lady, huyu Zero IQ ni jamaa angu sana ila naona sasa amesahau mipaka yake ndio mana najaribu kumkumbusha tu, wafanye wengine wengine ila sio yeye,😂😂
 
Kweli kabisaa jamani my dear!!
Nawapenda tuu walimu jamani, wanarudi nyumbani kwa wakati, wana muda mrefu wa kupumzika nazungumzia likizo! Kwenye suala la malezi utakuwa umenielewa vyema!

Seriously, natamani future husband awe mwalimu!
Nimekuelewa sana sana, ila kama ulivyosema kwa kiasi frani walimu wapo vizuri kwenye malezi, nakubaliana na wewe.👏👏
 
Back
Top Bottom