Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

nipo kimara karibu na manzese mtaa azikiwe

anaetaka tukutane
 
Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Kwanini unataka kui-fb, jf yetu?!..
 
Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
Hizi mambo za kutafutana mahali unapokaa ni style ya kuja kufanyana km Saa8 ama Nyalisu.....tumekustukia we tuache tuu hatuhitaji kujuana unavyotaka ww
 
Mimi nipo DSM -Ukonga-Markaz mtaa wa Kwa Temba

=====
Kama unahisi unatafutwa na hutaki kujulikana taja mtaa wa uongo ambao hata haukai huo.Huo huo mtaa mtaa wa uongo utampata jirani yako wa uongo
umerudi lini kutoka dodoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…