Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

Mkuu umechanganya madesa, hamna uhusiano wa mimi kuishi Ontario na kutrade forex...
Pambana na hali yako mzee baba
Acha maneno ya taarabu za mmeo young killer yatakutokea puani na makalioni
 
Wewe anzisha uzi MMU unatafuta mume watakuja watu humo PM utapata namba zao hadi za mitaa wanamoishi.

Ila mimi nipo hapa nyumbani kwangu
 
Nipo kwenye basi la mwendokasi hapa daraja la jangwani naelekea Mapipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…