Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
NimekupataReconcile, Resilience, Reform, Rebuild.
Wachana na mambo ya kijinga jinga.
Hapo nilikuwa nimrshaingiza yote nikahamaki.π€£π€£π€£ Na ukaingiza lakini bado akasema kandamiza
Yeye πππsio yeyeπ
weweπ hunijui sioYeye πππ
Mfyuuuu!! πππweweπ hunijui sio
Gily GruHapo nilikuwa nimrshaingiza yote nikahamaki.
Ndio ukomeπ€£π€£'mshamba, mimi ni kama dada yako'
akanionesha kabisa amenisave 'Youngie'
inauma sana
Ilikuaje bruh au ulienda kuangalia tv ukakaa sanaHapa sio kwenu, toka. Nilikua na miaka chini ya 7 ila hadi leo nakumbuka
Story ndefu, ila cha msingi nipo haiIlikuaje bruh au ulienda kuangalia tv ukakaa sana
πππ Bro ima shem joyce mlifika nae wapi kwahiyoTatizo Imma we ni mfupi halaf tangu lini wafupi wakawa mahandsome..
joyce joyce joyceeeee
Pole sana mkuuTarehe 17,March ya mwaka ule.'Poleni sana,baba yenu aliwadekeza sasa ameondoka,sijui mtaishije'.Muda huo machozi yananibubujika,nipo mimi,mdogo wangu,na kaka yetu,tunabadilisha nguo,tusafiri twende kijiji ambacho mwili wa mzee utazikwa.Kwakweli nilihuzunika sana,hadi kesho naamini mimi kuwa hivi ni kwasababu ya mzee,kutuacha tukiwa wadogo.Pumzika kwa amani baba yangu,hapa naandika ila machozi yananilengalenga japo ni zaidi ya miaka 20 toka mzee aondoke.He was a real man.R.I.P once again.
Sijui nini kilitokea ila hiyo sentensi imeniumiza pole sana mkuuHapa sio kwenu, toka. Nilikua na miaka chini ya 7 ila hadi leo nakumbuka