Wala hakuna cha kuvumilia, katika dunia yako labda, si kwangu.vumilia tu.
Ndipo akili yako ilipoishia hapo.Bana choo.
Nasisitiza bana choo.Ndipo akili yako ilipoishia hapo.
Kukomenti kwa herufi kubwaKUIGIZA MAISHA FEKI WAKATI KIUHALISIA HAWAISHI HIVYO
Straight to ignore list.Nasisitiza bana choo.
[emoji23][emoji23][emoji23] mko jukwaa la siasa mtu anakuja na link 'vipi ulipona kisonono'?Mtu badala akujibu unachouliza au hoja
Anaenda kwa thread zako anacopy afu anauliza "hivi ulipata mchumba?"
So what?Straight to ignore list.
Jitu lina ku-attack tu bila hata kusoma comment ama post yako vizuri, hii tabia siyo kabisa!
Tabia ya baadhi ya wadada wa humu jf kutubania papuchi zao sipendezwi nayo hata kidogo
Wewe uzi wa nini?Wakuu nimeanzisha huu kwa lengo la kuonyana kuhusu tabia mbovu zinazoonekana kwa baadhi ya member wa jamiiforums.
Naanza mimi.
1. Sipendi kabisa tabia ya baadhi ya members kuingilia na kuvuraga mada za wenzao kwa kuanzisha majibizano yasiohusika na mada iliyopo. mfano unakuta mtu kaanzisha mada yake ya kutafuta mteja wa bidhaa yake au kutafuta kazi au kuomba ushauri juu ya suala fulani, sasa unakuta kuna member wanaanza kuleta mazungumzo ya ajabu yasiyohusika kabisa. Tabia hii ya hovyo.
2. Tabia nyingine inayokera ni kukuta watu wanapoteza muda kudharau miji au mikoa mingine ndani ya nchi kana kwamba dharau zao zinawasaidia chochote.
Je wewe umeona tabia ipi inayokukera jamvini?
[emoji23][emoji23][emoji23] mko jukwaa la siasa mtu anakuja na link 'vipi ulipona kisonono'?
Hahah[emoji23][emoji23][emoji23] mko jukwaa la siasa mtu anakuja na link 'vipi ulipona kisonono'?
Huwa sikereki bali najifunza mengi hasa kwa haters.. Kwakuwa wananifunza kuwa makini na bora zaidi.... Bila kufahamu kuwa wananishape wao hudiss, hukejeli na kutusi...Wakuu nimeanzisha huu kwa lengo la kuonyana kuhusu tabia mbovu zinazoonekana kwa baadhi ya member wa jamiiforums.
Naanza mimi.
1. Sipendi kabisa tabia ya baadhi ya members kuingilia na kuvuraga mada za wenzao kwa kuanzisha majibizano yasiohusika na mada iliyopo. mfano unakuta mtu kaanzisha mada yake ya kutafuta mteja wa bidhaa yake au kutafuta kazi au kuomba ushauri juu ya suala fulani, sasa unakuta kuna member wanaanza kuleta mazungumzo ya ajabu yasiyohusika kabisa. Tabia hii ya hovyo.
2. Tabia nyingine inayokera ni kukuta watu wanapoteza muda kudharau miji au mikoa mingine ndani ya nchi kana kwamba dharau zao zinawasaidia chochote.
Je wewe umeona tabia ipi inayokukera jamvini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumwita member mwenzako FURUSHI
MATUSI badala ya kutoa hoja Kwa hoja