Andika tabia usiyoipenda ya baadhi ya member wa JF

Kama ambavyo hii post haikusaidii chochote. Sijui na wenzio wakereke kwa wewe kuanzisha huu uzi.

Uzuri kwamba humu kuna kanuni. Ili mradi mtu havunji kanuni wewe unakerekwa na nini.

Maisha sio magumu kiasi hiki.
 
Kweli watu tunatofautiana,honestly sijawai kukerwa na member yoyote humu.Kwanza nakerekaje Kwa michango(mawazo)ya watu nisio wajua physically zaidi ya maandishi.
 
Wakuu nimeanzisha huu kwa lengo la kuonyana kuhusu tabia mbovu zinazoonekana kwa baadhi ya member wa jamiiforums.

Naanza mimi.
1. Sipendi kabisa tabia ya baadhi ya members kuingilia na kuvuraga mada za wenzao kwa kuanzisha majibizano yasiohusika na mada iliyopo. mfano unakuta mtu kaanzisha mada yake ya kutafuta mteja wa bidhaa yake au kutafuta kazi au kuomba ushauri juu ya suala fulani, sasa unakuta kuna member wanaanza kuleta mazungumzo ya ajabu yasiyohusika kabisa. Tabia hii ya hovyo.

2. Tabia nyingine inayokera ni kukuta watu wanapoteza muda kudharau miji au mikoa mingine ndani ya nchi kana kwamba dharau zao zinawasaidia chochote.

Je wewe umeona tabia ipi inayokukera jamvini?
Wewe uzi wa nini?
 
`Mbeee` ngoja nishangae kikanda maalum. Ila kuna watu wana vituko sana humu duniani haha!
[emoji23][emoji23][emoji23] mko jukwaa la siasa mtu anakuja na link 'vipi ulipona kisonono'?
 
Wakuu nimeanzisha huu kwa lengo la kuonyana kuhusu tabia mbovu zinazoonekana kwa baadhi ya member wa jamiiforums.

Naanza mimi.
1. Sipendi kabisa tabia ya baadhi ya members kuingilia na kuvuraga mada za wenzao kwa kuanzisha majibizano yasiohusika na mada iliyopo. mfano unakuta mtu kaanzisha mada yake ya kutafuta mteja wa bidhaa yake au kutafuta kazi au kuomba ushauri juu ya suala fulani, sasa unakuta kuna member wanaanza kuleta mazungumzo ya ajabu yasiyohusika kabisa. Tabia hii ya hovyo.

2. Tabia nyingine inayokera ni kukuta watu wanapoteza muda kudharau miji au mikoa mingine ndani ya nchi kana kwamba dharau zao zinawasaidia chochote.

Je wewe umeona tabia ipi inayokukera jamvini?
Huwa sikereki bali najifunza mengi hasa kwa haters.. Kwakuwa wananifunza kuwa makini na bora zaidi.... Bila kufahamu kuwa wananishape wao hudiss, hukejeli na kutusi...
 
Back
Top Bottom