Andika tabia usiyoipenda ya baadhi ya member wa JF

Hivi Kiranga hua unasoma au kukumbuka ulichoandika?
 
Hii👉👉NGOJA WAJE;
**na wanakuja sasa hivi sijui nitawaambia nini......
 
Lengo la uzi ni kuonyana, kuna tabia nyingi humu si nzuri mfano watu kuendekeza matusi. Uzi huu una lengo la kuwataka watu kuacha tabia za ajabu ajabu.
Ok thanks [emoji120] thanks
 
Kuna mtu mmoja kila comment yake lazima amtag mtu fulani....yaani wanafuatana kama ruba.... Wananikera sana
Bila shaka mnawajua
Haha! Watu ar so funny
Anam-tag mwenzake ili badaye aweze naye kupitia huo uzi!
 
Tabia ya Madem kunifata PM wananiuliza na kazi gani?Nikiwajibu ni Mwanafunzi hawanijibu tena *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…