Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Salama kabisa.Nipo mpenzi, vipi hali yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salama kabisa.Nipo mpenzi, vipi hali yako?
saanaa...yan linaniamshaKwasababu umelipenda au? 😀
Sipendi tabia ya watu kusimamia kitu ambacho hawajakieleza vizuri kama wewe.Wakuu nimeanzisha huu kwa lengo la kuonyana kuhusu tabia mbovu zinazoonekana kwa baadhi ya member wa jamiiforums.
Naanza mimi.
1. Sipendi kabisa tabia ya baadhi ya members kuingilia na kuvuraga mada za wenzao kwa kuanzisha majibizano yasiohusika na mada iliyopo. mfano unakuta mtu kaanzisha mada yake ya kutafuta mteja wa bidhaa yake au kutafuta kazi au kuomba ushauri juu ya suala fulani, sasa unakuta kuna member wanaanza kuleta mazungumzo ya ajabu yasiyohusika kabisa. Tabia hii ya hovyo.
2. Tabia nyingine inayokera ni kukuta watu wanapoteza muda kudharau miji au mikoa mingine ndani ya nchi kana kwamba dharau zao zinawasaidia chochote.
Je wewe umeona tabia ipi inayokukera jamvini?
Habari yako umeiandika kifupi sana, wakati inahitaji maelezo zaidi.Sipendi wanaoponda juhudi na kuichafua Serikali sema basi tu inabidi tuvumiliane.
Mara paap.Pozi na dharau kwa members usiowafahamu sipendi kabisa hata kuitamka.
Hii hali ni ngumu sana kuifikia kiuhalisia.Binafsi hakuna kinachonikera hapa. Naamini kila binadamu yuko tofauti na mwenzake na katika utofauti huu ndimo mna ukamilifu wetu. Hakuna anachoweza kufanya kiumbe huyu aliyejipachika cheo cha uHomo Sapiens kikanishangaza wala kunikera hasa humu mitandaoni !!!
Mada imesema nitaje tabia nisiyopenda na sina sababu yakukuelewesha zaidi hapo,tuvumiliane.Habari yako umeiandika kifupi sana, wakati inahitaji maelezo zaidi.
Juuhudi zote za serikali ni nzuri? Unajuaje hawa wanaponda kuichafua serikali, na si kwamba serikali ina uchafu na hawa wanausema tu uchafu ambao upo serikalini?
Hahahaha wewe ndiye huko hapo kwenye no 1 asichopenda mtoa nada.Hivi hill jicho ni we we!?
Hata hili jibu ushataka kunielewesha zaidi ya hapo.Mada imesema nitaje tabia nisiyopenda na sina sababu yakukuelewesha zaidi hapo,tuvumiliane.
Bila ubishi kakuna maendeleo.
Nimependa miguu yakomi new member bado nawasoma
vumilia tu.Hata hili jibu ushataka kunielewesha zaidi ya hapo.
Ungekuwa huna sababu ya kunielewesha zaidi ya hapo hata kujibu usingejibu.