Nina miaka 21 na siwezi kutembea na mume wa mtu.
life goes too fast
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina miaka 21 na siwezi kutembea na mume wa mtu.
life goes too fast
Hahaha inategemea yukoje, ukipata mrangi utajaribu tu. Na ukizoea basi utakuwa hukauki nyumbani utakuwa baba mwema hutoki toki hovyo.31 siwezi kufanya mapenzi na beki tatu..!!
Hapana , hata mazoea sitaki.Hahaha anza kujifunza sisi ndio tunajua kulea. Tunatoa bando la mwezi bila kinyongo, ukijifunza mapema ukifikia 25 utakuwa ushazoea michepuko.
Aisee hiyo kitu ni ufala uliotukuka (in GENTAMYCINE's voice ...niliharisha siku tatu mfululizo baada ya kuzama chumvini ...nmeapa sirudii[emoji119][emoji119][emoji119]
Hahaha usiwe mlevi tu, ukijidai kufakamia beer za offer utakunywa Dampo, konyagi, na mengine ukipelekwa room wanasasambua, au unachambuliwa kama karanga.
Hahaha sisi ndio ving'ang'anizi sana, hata ukikataa tuna kupa huduma mpaka utakapoona ni sawa tu.
Acha uwongo juzi tu hapa nilikuona na Mzee Rashid
Na wewe ni Mume wa mtu? Niache kuku kwoti Mara moja[emoji23][emoji119][emoji119]Hahaha sisi ndio ving'ang'anizi sana, hata ukikataa tuna kupa huduma mpaka utakapoona ni sawa tu.
Ulinifananisha mkuuAcha uwongo juzi tu hapa nilikuona na Mzee Rashid
Naam yawezekana mama kwa sababu hata yule niliyemuona ni maji ya kunde kama wewe
Hahaha nasubiria kikokotoooNa wewe ni Mume wa mtu? Niache kuku kwoti Mara moja[emoji23][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi siyo Mimi.Naam yawezekana mama kwa sababu hata yule niliyemuona ni maji ya kunde kama wewe
Hivi kikokotoo ni nini ? Huwa nasikia tuu.Hahaha nasubiria kikokotooo
Good.But dont assure yourself too much. As 21 years you have long journey in terms of love and general life.All these can drug you into doing anything.