Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]what a prank

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha inategemea yukoje, ukipata mrangi utajaribu tu. Na ukizoea basi utakuwa hukauki nyumbani utakuwa baba mwema hutoki toki hovyo.
Hahahahh, mchezo wa beki 3 hapa tunaferi wengi jamani,yaani ukiona beki 3 kadumu kuanzia mwaka 1 na kuendelea ujue huyo ni mke huyo bimkubwa km hayupo anafua mpk boxer za mzee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha inategemea yukoje, ukipata mrangi utajaribu tu. Na ukizoea basi utakuwa hukauki nyumbani utakuwa baba mwema hutoki toki hovyo.
Aaahaha kwahiyo ubataka kusema sijapata Wa kunishawishi!?
 
Aaahaha kwahiyo ubataka kusema sijapata Wa kunishawishi!?
Bado, ukipata mzuri mchanga na mbichi utaleta mrejesho. Utawahi kurudi nyumbani utakuwa hutoki kuvizia mianya ya league.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…