Andika umri wako na jambo usiloweza kulifanya

36 namtaka huyo nafasi ya kwanza ku-coment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
13 - Mimi siwezi kuandika miaka yangu ya ukweli
 
Aisee hiyo kitu ni ufala uliotukuka (in GENTAMYCINE's voice ...niliharisha siku tatu mfululizo baada ya kuzama chumvini ...nmeapa sirudii[emoji119][emoji119][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
ulipozama chumvini ndio siku ulipoizima nyota aliokujalia MUNGU kila binaadam ananuru alojaaliwa na muumba ktk paji la uso wake linalofanya mtu aendelee kuonekana baraka mbele kila amtazamae.kupeleka sura huko ni kujinuksi kabisa ewe kijana usijaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…