Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
20+How old are u champ ?
36 namtaka huyo nafasi ya kwanza ku-comentMwana jopo kheri ya mwaka mpya.
Katika uzi huu tunaenda kuandika umri wetu na mambo ambayo kamwe hatuwezi kuyafanya katika umri huo.
Nitaanza na Mimi mwenyewe.
Nina miaka 35
Siwezi kuwa mnafki. (Kujifanyisha)
State your age and something you can't do
Me: 35 and I can't pretend.
Sitaki kubebwa mgongoni
Achana nae nitakwambia mwenyewe...maana na wewe ukitaka lako! !Sana ndiyo maana nikaamua zangu kujiita mtoto wa baba ila sasa baba hapendi ujinga...hapa nafikiria nianzie wapi kumuuliza eti
Sent using Jamii Forums mobile app
55 siwezi ipenda timu ya Simba
huu uzi una pages 8 ngoja kwanza nisome zote halafu naja kusema kitu love26-siwezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ex wangu,.
Katika wote wewe una akili iliyotulia, hawa wengine hawajui kama dunia ni duara maana pale ulipopakataa unarudi na kukaa tena. Aiseeh maisha mzunguko. LikeMi nna 30 ila siwez kusema kuwa siwez fanya kitu fulan maisha yana mzunguko mkubwa sana ni kuomba mungu akuepushe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ulipozama chumvini ndio siku ulipoizima nyota aliokujalia MUNGU kila binaadam ananuru alojaaliwa na muumba ktk paji la uso wake linalofanya mtu aendelee kuonekana baraka mbele kila amtazamae.kupeleka sura huko ni kujinuksi kabisa ewe kijana usijaribu.Aisee hiyo kitu ni ufala uliotukuka (in GENTAMYCINE's voice ...niliharisha siku tatu mfululizo baada ya kuzama chumvini ...nmeapa sirudii[emoji119][emoji119][emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika wote wewe una akili iliyotulia, hawa wengine hawajui kama dunia ni duara maana pale ulipopakataa unarudi na kukaa tena. Aiseeh maisha mzunguko. Like
Sent using Jamii Forums mobile app