Andika usichokipenda humu JamiiForums

Nawachuki watu ambao unaomba msaada wanaleta kejeli,mbaya zaidi ni mambo nyeti kama ugonjwa.
Pia kuna watu wanakoso makosa ya herufi utafikiri tupo kwenye mashindano ya IMLA,Badala ya kuangalia pointi ulizoshuka
Wengine ni wale kilichoulizwa hawanautaalamu nacho/hawakijui wanakimbilia kujibu.
Na mwisho ukiandika mada ya Ukweli ikimgusa Mtu/watu /kikundi/chama ,Wanatukana ,povu,kupinga,kejeli na kuchanganya mada isiyo husika.
 
Beby wako beia katuaga anarudi shulee
ndio mwaya!aliwah sema kuwa kuna wanawake wanamuomba sana pesa pm jaman nilifatwa na watuu uwiii !wakahis mie !niaksema aweke kaushahidi !hahaha wengi walibaki kusema mhhhh !anywys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…