Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhhah Jamani Wanawake Wa Humu Muna dhambi Sana Hadi Bera Munamuomba Ela. Niwedharau Tena Sana[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]ndio mwaya!aliwah sema kuwa kuna wanawake wanamuomba sana pesa pm jaman nilifatwa na watuu uwiii !wakahis mie !niaksema aweke kaushahidi !hahaha wengi walibaki kusema mhhhh !anywys
Mdoli Na Sanamu Watakuja TuuMima na Putin a.k.a watuhumiwa namba mbili naomba mkaushe hivohivo ili tujiongeleshe wenyewe kwa wenyewe hahaha mkijitokeza ntaumiaaaaaaaa Silence is the best answer mi na kuwashwa kwangu tu. Trump power Smart911 and mahondaw wish you a good night... Adios [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]
Smart911 sweetheart Nalog off.
'tuzarau 'tu babaHahhhah Jamani Wanawake Wa Humu Muna dhambi Sana Hadi Bera Munamuomba Ela. Niwedharau Tena Sana[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Asante sana chief, ila situmii voda labda uiweke hapa kama bonus mwenye kuiwai bahati yake [emoji2][emoji2][emoji2]Mkuu. Umelenga. Fanya Kunitumia Namba ya Voda pm Nikuunge Bando La Wiki Internet
[emoji3][emoji3][emoji3] mbavu zangu
Kwa ajili ya nn
ila kuna wengine nadhan wanapenda kuitwa hvyo !kutokana na threads zaoSipendi ile wadada wanaita wanaume rijali Ben 10
Ukiiona umetajwa MTU kwenye Mada ya KITU be attention very attentionSmart911 Hivi huu uzi ni wa kusema usichokipenda kumbe!!???? [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Na watu unataja kumbe?!?! [emoji16] [emoji15] [emoji15] [emoji15] lol
Kwakweli inabidi tu umvumilie mume ila watu nao wana kazi mpaka pm kuulizando mume tena ! nilisumbuka sana kujieleza kwa wahenga wenzangu
Kwakweli inabidi tu umvumilie mume ila watu nao wana kazi mpaka pm kuuliza
Hhhhaaaaa maziwa jeBela Karudi Shule. Nimempa Ya Blueband Na peanut Butter mtoto Wa Watu Yule Hana Makuu Kama Mrusi