ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Nakusabahi tu mkuu, nitakuja pm nikusabahi vizuri[emoji16][emoji16][emoji125][emoji13]Naunga mkono hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakusabahi tu mkuu, nitakuja pm nikusabahi vizuri[emoji16][emoji16][emoji125][emoji13]Naunga mkono hoja.
ukikosea kuandika comment huwezi ku edit
Mm sipendi Mijanaume imeoa na ina familia inakuja pm kutongozaaa wanachokitafuta watakipata.
ndio mwaya!aliwah sema kuwa kuna wanawake wanamuomba sana pesa pm jaman nilifatwa na watuu uwiii !wakahis mie !niaksema aweke kaushahidi !hahaha wengi walibaki kusema mhhhh !anywysBeby wako beia katuaga anarudi shulee
Kwa ajili ya nnPapuchi?
Mnajiuza Nyie Hamna Lolote. Tena wewe Naweka Screen Shot Sasa Hivi Kabla cjakuzarau[emoji28] [emoji28]
aiseeDuuh Ka Uzi kamekaa kichochez mkuu
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23] salamu haiui DinaYaan wanasalimia hao toka nifunge pm namshukuru Mola,,wanasalimia kweki mpaka kero
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hao wanakopa pm
[emoji23][emoji28][emoji23] JF aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mmoja ana id mbili..moja ya me nyingine ya ke. Madai yake huyo ke ndo demu wake, basi kazi aliyonayo kujibebisha huku na huku si mchezo.
Mkuu ni wengi mno.... afu ujuaji mwiingiNani. Mtaje Ajirekebishe Hapa
[emoji3][emoji3][emoji3] mbavu zangundio mwaya!aliwah sema kuwa kuna wanawake wanamuomba sana pesa pm jaman nilifatwa na watuu uwiii !wakahis mie !niaksema aweke kaushahidi !hahaha wengi walibaki kusema mhhhh !anywys
The Kingsmen and Golden circle 2017.![]()
Anae ijua Hii Movie. Nitamuungia Bando La internet.