Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hapo nimekuelewa mama yanguhahah hapana ! unajua shunie kuna watu hamchat ujinga hata siku moja mnachat maneno ya bisara !lazima akuask ! think deep utanielewa !lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nimekuelewa mama yanguhahah hapana ! unajua shunie kuna watu hamchat ujinga hata siku moja mnachat maneno ya bisara !lazima akuask ! think deep utanielewa !lol
Mimi tena nazinguaje tena EkyomaUnazingua ujue
Ngoja akuje mwenyeweSakayo. Hili Jina Linanipa Raha Nikilitamka
Beira anaombwa pesa?ndio mwaya!aliwah sema kuwa kuna wanawake wanamuomba sana pesa pm jaman nilifatwa na watuu uwiii !wakahis mie !niaksema aweke kaushahidi !hahaha wengi walibaki kusema mhhhh !anywys
Stress mbaya asikwambie mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unamjua eenh hao wananikera sana hivi kwa ninii wanatufanya sisi watoto au mtu mmoja ana I'd 3 anajibishana nazo watu mnaona wapo busy na mahaba kumbe ni jeshi la mtu mmoja jf hapana
Aiseee jf tuna kaziiMnajiuza Nyie Hamna Lolote. Tena wewe Naweka Screen Shot Sasa Hivi Kabla cjakuzarau[emoji28] [emoji28]
Usipopatikana sasa mbona haupo hewan umenitenga,utafikir hata anatuma bando lohahaha [emoji23][emoji28][emoji23] salamu haiui Dina
Tofaut na hapo watakuja kulia na sileeedi mpyaWanachokitafuta watakipata
HhhhaaaaaMdoli Na Sanamu Watakuja Tuu
duh !kulikua na uzi fulan last week nilitagiwa na watu kibwena !analalamika kuwa na yeye wanawake ',maarufu' jf huwa wanamsumbua kwa kumuomba pesa ! alikua na yule sapota mwenzake anaesema anatongozwa na wanawake wa jf!Beira anaombwa pesa?
Stress zao wapambane nazo wenyewe wasituletee sisi ila kuna vitu demi haviji hivi unaanzaje kujijibisha na I'd zakoStress mbaya asikwambie mtu
Hao marafiki wapenzi wasalimie sana jaman huku pm kwangu ni salaam tu zimejaaduh !kulikua na uzi fulan last week nilitagiwa na watu kibwena !analalamika kuwa na yeye wanawake ',maarufu' jf huwa wanamsumbua kwa kumuomba pesa ! alikua na yule sapota mwenzake anaesema anatongozwa na wanawake wa jf!
mie sijui km nimewa muomba mtu pesa hata ya vocha humu !ila najikutaga salio linasoma tu !
ahsanten marafiki wapenziiiiiiiiii kwa kunithamini !lol
Karibu mkuu. Mi mzima wa afyaNakusabahi tu mkuu, nitakuja pm nikusabahi vizuri[emoji16][emoji16][emoji125][emoji13]
Karibu mkuu. Mi mzima wa afyaNakusabahi tu mkuu, nitakuja pm nikusabahi vizuri[emoji16][emoji16][emoji125][emoji13]
Khaaaaa sikuuona uzi jomoniiduh !kulikua na uzi fulan last week nilitagiwa na watu kibwena !analalamika kuwa na yeye wanawake ',maarufu' jf huwa wanamsumbua kwa kumuomba pesa ! alikua na yule sapota mwenzake anaesema anatongozwa na wanawake wa jf!
mie sijui km nimewa muomba mtu pesa hata ya vocha humu !ila najikutaga salio linasoma tu !
ahsanten marafiki wapenziiiiiiiiii kwa kunithamini !lol
mie nahis kam unaenda mbali zaid !yes umepata mwanamke jf mmekutana mkajikuta mmeenjoy ngono ! kinakuchokuwasha kuja kujiexpose hvyo ni nn sasa ohh mie nina pumzi n blah blah kibao hahaha kama na wewe hujiuzi ni nn !imagine mfano wewe ukutane na Slim5 alafu muanze kutuelezea mlivyofinyana lodge si wehu huu jaman !khaaStress zao wapambane nazo wenyewe wasituletee sisi ila kuna vitu demi haviji hivi unaanzaje kujijibisha na I'd zako
Atugawie jamani hawa wa salamu siwatakiHao marafiki wapenzi wasalimie sana jaman huku pm kwangu ni salaam tu zimejaa
ulikuepo !hizo zilikua comments zaoKhaaaaa sikuuona uzi jomonii