Andika usichokipenda humu JamiiForums

ndio mwaya!aliwah sema kuwa kuna wanawake wanamuomba sana pesa pm jaman nilifatwa na watuu uwiii !wakahis mie !niaksema aweke kaushahidi !hahaha wengi walibaki kusema mhhhh !anywys
Hahhhah Jamani Wanawake Wa Humu Muna dhambi Sana Hadi Bera Munamuomba Ela. Niwedharau Tena Sana[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Mima na Putin a.k.a watuhumiwa namba mbili naomba mkaushe hivohivo ili tujiongeleshe wenyewe kwa wenyewe hahaha mkijitokeza ntaumiaaaaaaaa Silence is the best answer mi na kuwashwa kwangu tu. Trump power eeee Smart911 and mahondaw wish you a good night... Adios [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]



Smart911 sweetheart Nalog off.
 
Mdoli Na Sanamu Watakuja Tuu
 
Mkuu. Umelenga. Fanya Kunitumia Namba ya Voda pm Nikuunge Bando La Wiki Internet
Asante sana chief, ila situmii voda labda uiweke hapa kama bonus mwenye kuiwai bahati yake [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwakweli inabidi tu umvumilie mume ila watu nao wana kazi mpaka pm kuuliza

hahah hapana ! unajua shunie kuna watu hamchat ujinga hata siku moja mnachat maneno ya bisara !lazima akuask ! think deep utanielewa !lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…