Andika usichokipenda humu JamiiForums

Ndio mima alikufata au mwingine,,
Usirudie kushauri mtu ndio haya hutokeaa
 
Hahahahahahaha yaan wanawake wote humu tunamuonea wivu mima,,putin ni balaa huyu mrusiii ,,ukicheza kidogi tu unarushwaa russia ,,,acha tu muigen putin,,ila putin atakuwa hanshaam ee
 
Hahahahahahaha yaan wanawake wote humu tunamuonea wivu mima,,putin ni balaa huyu mrusiii ,,ukicheza kidogi tu unarushwaa russia ,,,acha tu muigen putin,,ila putin atakuwa hanshaam ee

hhhhaaa hoga labda unamuonea wivu wewe !mwenzaqko nimemaliza chuo miaka mingi huko leo nije nimuonee wivu mwanafunzi?? dah !
 
hahaha ata mie naona. tangu aolewe ana malnutrion ya mtongozo. naomba putin ampe dawa apone

Nakojooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kojooooooooo refuuuuuuuu hhhhaaaaaaaa

hahaha kojoa kabisa ukiweza jamba kabisa
 
Ndio tatizo lenu wanawake huwa hampendani na wala hamuaminiani, sasa wewe ulimshauri vizuri lkn akaona kama unataka kumbania akaupeleka ushauri wako kama ulivyo ili wewe uonekane mbaya mwisho wake ndio kama hv maugomvi hayaishi
 
afu ubaya mie sinaga muda jaman !yaan walaa
 
hahaha mie wala sikujali !unajua anakuja mdada naye kaolewa anaonesha kuwehuka na mtoto si unamualert jaman !au?? NIMEKOMAA lol
Yakarudishwaa kama yalivyooo uliumbukaje,,ukataka kumbania papuchi ya bure putin,,hatak kama mi ni putin lazima nikumaindiii
Hivi putin handsome ee?maana kama pesa tayari anazo je sura ya kuwaringishia maadui ipo ili nami niandae mtongozi haiwezakani iwe putin putin jf mi udada nauvua kwa putin
 
hahahaa kama unapenda watoto anakufaa !lakini kama unapenda wahenga km mie mhhh lazima utaanza mchunia then atakata maguu mwenyew !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…