Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Na nyie mnamazeee mkikutana na za maua au mabwawa pigeni kimyaaaNa mnyamaze kimya!
eti dina nipe story ya yule aliyetaka kumpa Vladimirovich Putin tundu dogo kama kamisheni ni nani maana sijawahigi kumjua mpaka leo! alafu nawaza atakuwa naniii sio kwa kumind nanii ila sasa nanii hana namna ya kuficha ili nanii isiwekewa pilipili
Hajawah kumtaja mbebeleze akutumie pm wengine anawatumiaa,,au aje hapa atuambie ,,wallah hata naniii simjuii