Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhhaaa we chek labda uwe hujui kuitumia vzr jf! nimekudharau sanaaaHahahaaaa kama ni kweli Nambie Uzi gani Nikachote Namba Namimi Uanze Kunidharau.
Sukari ya warembo humu ni Daby
Pm yake imefurika mpaka anataka kufunga pm,,,sasa sisi tunapenda hao wakimya kimya ,,
pyeee
Daby haishi hamuHahaha Daby arifu, chalii, babulaia wangu si ana shangazi, wapwa, wiii, shemeji, bibi alafu bado mnamtaka.
Nyie wanawake wa jf nawashangaa kwa kweli yaani kwa daby ni kama ndugu yenu wa damu bado mnamtaka. pheww nimewashindwa si ajabu mnaweza kunibaka humu.
Ndio maana nimekuwa mkorofi humu mpaka mods wananipiga ban
Mbiti ye ni wahenga watoto hatakii
Anataka wahenga bao moja chali
Daby haishi hamu
Nawe unafatwaa fatwa sana
haaha makubwa !kwamba mie nafanya ufirauni wa mambo ya tigo !haha nasikia anawapa ushahid nitupie nami bas kama ni mm huyo !pyeee
PoaTumeambiwa Tunajaza Pm Kwa Salamu Ngoja Namimi Nikusalimie kimoja Japo Cha Usiku. Mambo Sakayo
Rrondo jaman ebu njo pm tu unaona mambo kama haya unatoa no mwisho wa siku unakutana na magazeti yako na no yako jukwaani acha niwe muoga tuAcha uongo wewe....PM yako umeifunga, mwaka jana wote nakubembeleza nikuhonge unaogopa. Weekend nimekupa offer nipe namba nikujazie salio umeogopa!
JomoniSipendi mtu anayetumia haya maneno ya kisagaji, PAMBE na NGACHOKA
NIMEKUDHARAUUU, UPO!!Sijamuona mtag basi
Nimemiss kumwagiwa povu
Haahahahhhahaha safari lazima adabu iwepoRrondo jaman ebu njo pm tu unaona mambo kama haya unatoa no mwisho wa siku unakutana na magazeti yako na no yako jukwaani acha niwe muoga tu
UmepitwaaaNIMEKUDHARAUUU, UPO!!
Asante jomoniSipendi neno jomoni. Nimekudharau Tiali