Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Sukari ya warembo humu ni Daby
Pm yake imefurika mpaka anataka kufunga pm,,,sasa sisi tunapenda hao wakimya kimya ,,

Hahaha Daby arifu, chalii, babulaia wangu si ana shangazi, wapwa, wiii, shemeji, bibi alafu bado mnamtaka.

Nyie wanawake wa jf nawashangaa kwa kweli yaani kwa daby ni kama ndugu yenu wa damu bado mnamtaka. pheww nimewashindwa si ajabu mnaweza kunibaka humu.

Ndio maana nimekuwa mkorofi humu mpaka mods wananipiga ban
 
Daby haishi hamu
Nawe unafatwaa fatwa sana
 
Mbiti ye ni wahenga watoto hatakii
Anataka wahenga bao moja chali

Kwa hiyo goli moja kwa mbiti injini ina-noki. Hahaha sasa hawa watoto wana mapafu ya korea kaskazini hawachagui vita wanapiga vita kama mrusi.

haya muhenga wetu tunampenda asije akachenjuliwa kama kreni-shafti akajifia huko tuje kosa mawaidha ya kihenga.

shikamoo muhenga mbiti aka debe tupu(putin,2018)
 
Daby haishi hamu
Nawe unafatwaa fatwa sana

haya bana huyo Daby nimewaachiwa kabisaa ila mimi sio mbutuya maana maana anapenda zibiya wenzake utamu eti kisa ya mtoto. sasa hiyo ya mtoto haisimami au haipendi keki ya taifa.

na mimi wapo wanaonifatwa fuata ila naogopa wa jf unaweza kuta ni bibi yako
 
haaha makubwa !kwamba mie nafanya ufirauni wa mambo ya tigo !haha nasikia anawapa ushahid nitupie nami bas kama ni mm huyo !pyeee

Mhenga mimi naunganisha doti na akili zangu za u-ti nee jaa

mie ushahidi sina ndo maana nauliza kwamba naniliu haijananili-wa

na wewe mwenyewe pyeee

mxiuuuuuuu!

muhenga gani tena ana maneno machafu khaa

kumbe ndo uko hivyo

woiii

kwendraaa
 
Acha uongo wewe....PM yako umeifunga, mwaka jana wote nakubembeleza nikuhonge unaogopa. Weekend nimekupa offer nipe namba nikujazie salio umeogopa!
Rrondo jaman ebu njo pm tu unaona mambo kama haya unatoa no mwisho wa siku unakutana na magazeti yako na no yako jukwaani acha niwe muoga tu
 
Rrondo jaman ebu njo pm tu unaona mambo kama haya unatoa no mwisho wa siku unakutana na magazeti yako na no yako jukwaani acha niwe muoga tu
Haahahahhhahaha safari lazima adabu iwepo
 
Back
Top Bottom