Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

hhaha namfaham vlad kijuu juu tu ! kuna mtu aliwaj nijia pm akaniambia vlad ana maneno mazuri na amevutiwa naye nikamshauri kihenga kuwa huyo nimtoto achana naye hahaha bi bidada akayapeleka km yalivyo !ndo chanzo cha haya maneno !alikua mshikaj hatar yaan ile ya kuitana majina mabayaa we paka upo nimekumis nyau wangu !mara muitane mbweha things like tht ! sasa bidada akamwambia nilivyomchana !hahaha vlad alikua mshikaj haipit siku msichat !sijaruka popote kuwa hakuwa mshikaji ! na nilishindwa kucope naye yeye alikua field nikawa nashindwa kuchat naye !hahah uwii
Ndio mima alikufata au mwingine,,
Usirudie kushauri mtu ndio haya hutokeaa
 
Nimetoroka kidogo kazini

ki ukweli Vladimirovich Putin huo mtongozo wako una phd ulifaa uwe gavana wa benki. Hawa kina mbity,dina naona wanaona wivu aisehh embu watupie vile vi katuni wapoze nyoyo zao.

alafu nakuomba unifundishe mtongozo maana hapo nilishafeli na tu picha tule maana mtongoza kwa mima mpaka nimefall in love mimi
Hahahahahahaha yaan wanawake wote humu tunamuonea wivu mima,,putin ni balaa huyu mrusiii ,,ukicheza kidogi tu unarushwaa russia ,,,acha tu muigen putin,,ila putin atakuwa hanshaam ee
 
hhhhaaa hoga labda unamuonea wivu wewe !mwenzaqko nimemaliza chuo miaka mingi huko leo nije nimuonee wivu mwanafunzi?? dah !
 
Hivi kwanini hutaki kukubali ni watu tofauti,,ndio maana unazidi kumuudhi putin,,siku ukianikwa shauri lako,,afanye nini uamini ni watu tofauti,,,Mbitiyaza sasa una wivu nimeamini kabisa una wivu mkubwaaa na kuanzia leo
tena ngoja na espy aje ni hiviii
NIMEKUDHARAUUUUUUUUUUUUUUU

hahaha ata mie naona. tangu aolewe ana malnutrion ya mtongozo. naomba putin ampe dawa apone

Nakojooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kojooooooooo refuuuuuuuu hhhhaaaaaaaa

hahaha kojoa kabisa ukiweza jamba kabisa
 
hhaha namfaham vlad kijuu juu tu ! kuna mtu aliwaj nijia pm akaniambia vlad ana maneno mazuri na amevutiwa naye nikamshauri kihenga kuwa huyo nimtoto achana naye hahaha bi bidada akayapeleka km yalivyo !ndo chanzo cha haya maneno !alikua mshikaj hatar yaan ile ya kuitana majina mabayaa we paka upo nimekumis nyau wangu !mara muitane mbweha things like tht ! sasa bidada akamwambia nilivyomchana !hahaha vlad alikua mshikaj haipit siku msichat !sijaruka popote kuwa hakuwa mshikaji ! na nilishindwa kucope naye yeye alikua field nikawa nashindwa kuchat naye !hahah uwii
Ndio tatizo lenu wanawake huwa hampendani na wala hamuaminiani, sasa wewe ulimshauri vizuri lkn akaona kama unataka kumbania akaupeleka ushauri wako kama ulivyo ili wewe uonekane mbaya mwisho wake ndio kama hv maugomvi hayaishi
 
afu ubaya mie sinaga muda jaman !yaan walaa
 
hahaha mie wala sikujali !unajua anakuja mdada naye kaolewa anaonesha kuwehuka na mtoto si unamualert jaman !au?? NIMEKOMAA lol
Yakarudishwaa kama yalivyooo uliumbukaje,,ukataka kumbania papuchi ya bure putin,,hatak kama mi ni putin lazima nikumaindiii
Hivi putin handsome ee?maana kama pesa tayari anazo je sura ya kuwaringishia maadui ipo ili nami niandae mtongozi haiwezakani iwe putin putin jf mi udada nauvua kwa putin
 
hahahaa kama unapenda watoto anakufaa !lakini kama unapenda wahenga km mie mhhh lazima utaanza mchunia then atakata maguu mwenyew !
 
Back
Top Bottom