Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Ndio mima alikufata au mwingine,,hhaha namfaham vlad kijuu juu tu ! kuna mtu aliwaj nijia pm akaniambia vlad ana maneno mazuri na amevutiwa naye nikamshauri kihenga kuwa huyo nimtoto achana naye hahaha bi bidada akayapeleka km yalivyo !ndo chanzo cha haya maneno !alikua mshikaj hatar yaan ile ya kuitana majina mabayaa we paka upo nimekumis nyau wangu !mara muitane mbweha things like tht ! sasa bidada akamwambia nilivyomchana !hahaha vlad alikua mshikaj haipit siku msichat !sijaruka popote kuwa hakuwa mshikaji ! na nilishindwa kucope naye yeye alikua field nikawa nashindwa kuchat naye !hahah uwii
Usirudie kushauri mtu ndio haya hutokeaa