Na nyie mnamazeee mkikutana na za maua au mabwawa pigeni kimyaaaNa mnyamaze kimya!
eti dina nipe story ya yule aliyetaka kumpa Vladimirovich Putin tundu dogo kama kamisheni ni nani maana sijawahigi kumjua mpaka leo! alafu nawaza atakuwa naniii sio kwa kumind nanii ila sasa nanii hana namna ya kuficha ili nanii isiwekewa pilipili
Sasa hiv nataka kujambaaaaaaaaaaaaaaKojooooooaaaa Dina......kojoooooaaaaaaaaa
HahahahahaYaani mnapenda umbea hadi basi
Jambaaaaaaa Dina.......jambhaaaaaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hiv nataka kujambaaaaaaaaaaaaaa
Waaaaat ,,mi nimecheza rafuu za kutosha hata kupima naogopaaa mwee mpaka nineathirika kisaikolojiia mie,ahhaahha au tupo same level!
levels babe
Najambaaaaaa buuuuuuuuuuuJambaaaaaaa Dina.......jambhaaaaaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Najambaaaaaa buuuuuuuuuuu
Hahahahahahaha yaan wanawake wote humu tunamuonea wivu mima,,putin ni balaa huyu mrusiii ,,ukicheza kidogi tu unarushwaa russia ,,,acha tu muigen putin,,ila putin atakuwa hanshaam ee
Putini ukinyamaza nakuapiaaa nakujoaaa hapaaaa
Mbiti kibokoo kumbe anamshaurii yule dada,,yule dada kachanganyikiwa na mapafu ya punda ya putin ,kwanini asiyapeleke kwa putin kama yalivyoo?na unawajua warusi hawatishiki ,,hii vita ni kama ya Trump na kiduku haiwezi ishaa,amtafute tu mshana kwa kweliiHuo mtongozo wa putin balaa mpaka mbiti kule kwa papa anatoa udenda. Alafu kwa nini ambanie mwenzake bana au alijua besti yake ataikopea papuchi yake akamzawadie putin
MBITIYAZA umeniangusha dada mkubwa kama unapenda wahenga sasa kwa putin unamtafutia nini kama sio wivu ptyyuuuu nimekutemea mate kabisa na uhenga wako sasa mtafute mshana akasugue nyota ing'ae
unajua unakichaa kama mimi ila cha kwako kipo kwa sekondari stage
HahahahYakiongozwa na wewe
Mbiti kibokoo kumbe anamshaurii yule dada,,yule dada kachanganyikiwa na mapafu ya punda ya putin ,kwanini asiyapeleke kwa putin kama yalivyoo?na unawajua warusi hawatishiki ,,hii vita ni kama ya Trump na kiduku haiwezi ishaa,amtafute tu mshana kwa kwelii
We chako kipo chuo kikuu
Ivi na wewe utapendwa na nan?
Mbiti ni debe tupu hhaha
sasa jiulize debe tupu linashaurije sasa. Eti mara mtoto putin
nimuulize mbiti je anampenda putin?
nahisi anampenda yupo tayari kutoa ndogo(hapa naunganisha dots)
Ila naye mbiti ana uwivu aisehhh khaa sijapata onaga
Mbiti ye ni wahenga watoto hatakiiMbiti ni debe tupu hhaha
sasa jiulize debe tupu linashaurije sasa. Eti mara mtoto putin
nimuulize mbiti je anampenda putin?
nahisi anampenda yupo tayari kutoa ndogo(hapa naunganisha dots)
Ila naye mbiti ana uwivu aisehhh khaa sijapata onaga
Sukari ya warembo humu ni DabyHahahah vip unataka kumuoa nini?
humuoni putin kawa sukari ya mima ila naye mima akicheza vibaya watamnyang'anya hawa wanaojiita wahenga
Sukari ya warembo humu ni Daby
Pm yake imefurika mpaka anataka kufunga pm,,,sasa sisi tunapenda hao wakimya kimya ,,
Ptuuuuupyeee