Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Na mnyamaze kimya!

eti dina nipe story ya yule aliyetaka kumpa Vladimirovich Putin tundu dogo kama kamisheni ni nani maana sijawahigi kumjua mpaka leo! alafu nawaza atakuwa naniii sio kwa kumind nanii ila sasa nanii hana namna ya kuficha ili nanii isiwekewa pilipili
Na nyie mnamazeee mkikutana na za maua au mabwawa pigeni kimyaaa

Hajawah kumtaja mbebeleze akutumie pm wengine anawatumiaa,,au aje hapa atuambie ,,wallah hata naniii simjuii
 
mwanzo nilikuwa sipendi wana quote uzi mreefu alafu anaandika neno moja, ila sasa napenda hasa nikiona wengine wanalalamika nafahamu kumbe kero hii si mimi tu.
 
Hahahahahahaha yaan wanawake wote humu tunamuonea wivu mima,,putin ni balaa huyu mrusiii ,,ukicheza kidogi tu unarushwaa russia ,,,acha tu muigen putin,,ila putin atakuwa hanshaam ee

Huo mtongozo wa putin balaa mpaka mbiti kule kwa papa anatoa udenda. Alafu kwa nini ambanie mwenzake bana au alijua besti yake ataikopea papuchi yake akamzawadie putin

MBITIYAZA umeniangusha dada mkubwa kama unapenda wahenga sasa kwa putin unamtafutia nini kama sio wivu ptyyuuuu nimekutemea mate kabisa na uhenga wako sasa mtafute mshana akasugue nyota ing'ae

Putini ukinyamaza nakuapiaaa nakujoaaa hapaaaa

unajua unakichaa kama mimi ila cha kwako kipo kwa sekondari stage
 
Huo mtongozo wa putin balaa mpaka mbiti kule kwa papa anatoa udenda. Alafu kwa nini ambanie mwenzake bana au alijua besti yake ataikopea papuchi yake akamzawadie putin

MBITIYAZA umeniangusha dada mkubwa kama unapenda wahenga sasa kwa putin unamtafutia nini kama sio wivu ptyyuuuu nimekutemea mate kabisa na uhenga wako sasa mtafute mshana akasugue nyota ing'ae

unajua unakichaa kama mimi ila cha kwako kipo kwa sekondari stage
Mbiti kibokoo kumbe anamshaurii yule dada,,yule dada kachanganyikiwa na mapafu ya punda ya putin ,kwanini asiyapeleke kwa putin kama yalivyoo?na unawajua warusi hawatishiki ,,hii vita ni kama ya Trump na kiduku haiwezi ishaa,amtafute tu mshana kwa kwelii

We chako kipo chuo kikuu
 
Mbiti ni debe tupu hhaha

sasa jiulize debe tupu linashaurije sasa. Eti mara mtoto putin

nimuulize mbiti je anampenda putin?

nahisi anampenda yupo tayari kutoa ndogo(hapa naunganisha dots)

Ila naye mbiti ana uwivu aisehhh khaa sijapata onaga
 
haaha makubwa !kwamba mie nafanya ufirauni wa mambo ya tigo !haha nasikia anawapa ushahid nitupie nami bas kama ni mm huyo !pyeee
 
Mbiti ni debe tupu hhaha

sasa jiulize debe tupu linashaurije sasa. Eti mara mtoto putin

nimuulize mbiti je anampenda putin?

nahisi anampenda yupo tayari kutoa ndogo(hapa naunganisha dots)

Ila naye mbiti ana uwivu aisehhh khaa sijapata onaga
Mbiti ye ni wahenga watoto hatakii
Anataka wahenga bao moja chali
 
Hahahah vip unataka kumuoa nini?

humuoni putin kawa sukari ya mima ila naye mima akicheza vibaya watamnyang'anya hawa wanaojiita wahenga
Sukari ya warembo humu ni Daby
Pm yake imefurika mpaka anataka kufunga pm,,,sasa sisi tunapenda hao wakimya kimya ,,
 
Back
Top Bottom