Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

dina ninapigiwa simu na watu kila mtu ananiambia we ni mbiti?? aksiema hvyo najua ni jf iweje huyu aanze kujitia maneno kuhus namba yangu !hahahah jaman mie sijui unitishie kitu gan ndo niogope !mume wangu ananjiuaga vzr aisee
Kumbe Umeolewa alafu Unadanga Kwa Putini. Hahaha hahaha Lazima Akuzqrau[emoji28] [emoji28]
 
Alafu mbn upo interested sana na shule yangu ??? Nilishakuambia usipende kuzungumzia mambo ya elimu yangu humu majukwaan ,, hivi nikikuzungumzia kindaki ndaki hapa majukwaan ,utajisikia poa ???.


Tuliza mdomo wako basi ,,mbn najitahidi kukaa kimya lkn unanichokonoa ??? Haaaaa ?? Tulia basi ,Naukome kabisa kuzungumzia masuala ya elimu yangu humu ,upo !!!. Namm nitaanza kukuzungumzia ili tuende sawa .

Bahati nzuri hauna nisichokijua kwan 0713........633 ....hiii namba bado unaitumia ???.
Wakwanza Kukuzarau Huku. Wanakusema eti Haujaenda Shule. Njoo Uwaanike Pm Zao Hapa hawa wadangaji
 
Vladimirovich Putin yaan narudia kukuambia hivi ! hebu nielewe kwanza !nitakuwa mtu wa ajabu eti nikuonee wivu wewe !siye kuna maneno tumetokea kuyapenda ndo hayo tunayazungumzia kila tukionana !neno nimekudharau,mnajiuza ,ptu,siwaogopi tumejikita tunayapenda kuyaongea popte pale !aisee aliyesoma na mm atanijua nilivyo !jaman mie huwa siogopi mtu kwanza siwez ! yaan wewe hata unipige za uso vipi mie huwa sisumbuki !so nisicomment kisa wewe na kapeace ?? kwasabb zipi kwanza !hahaha aisee !hebu fanya yako nitacheka nitakapopenda na kucomtn niwezavyo !
i wish unifaham na mie background zangu !
hebu kuwa na aman na kapeac wako !
yaan namie nina kaukichaa Sema siwez kushindana na wanafunzi wa vyuo vilivyokosaga USAJILI yaan usituone wepesi kihivyoo !acha mikwara mbuzi hyo wewe !
SITAKUJIBU TENA !kwasababu mwenzako nipo mbali sana na ww kivyovyote vile(yaan wewe hata unifukuzieje hunikuti ng'o) !
bye
Mbiti mama hujambo?
 
hhaha namfaham vlad kijuu juu tu ! kuna mtu aliwaj nijia pm akaniambia vlad ana maneno mazuri na amevutiwa naye nikamshauri kihenga kuwa huyo nimtoto achana naye hahaha bi bidada akayapeleka km yalivyo !ndo chanzo cha haya maneno !alikua mshikaj hatar yaan ile ya kuitana majina mabayaa we paka upo nimekumis nyau wangu !mara muitane mbweha things like tht ! sasa bidada akamwambia nilivyomchana !hahaha vlad alikua mshikaj haipit siku msichat !sijaruka popote kuwa hakuwa mshikaji ! na nilishindwa kucope naye yeye alikua field nikawa nashindwa kuchat naye !hahah uwii
Kumbe!! Dah!
 
Good morning fundi
Unapotea mno na wewe fundi mkuu, au ndo una hasira za kukaa lupango kwahiyo unalipa zile siku hukuwepo kwa kaka mkubwa ! [emoji3] [emoji3] [emoji3] good morning fundi mkuu
 
Back
Top Bottom