Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba analiwa? Stupid quoteAndika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.
Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.
Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.
![]()
Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.
tuliowahi kuanzisha nyuzi za namna hii tukutane hapa...Sipendi nyuzi zinazoanza na "tulio fanya ----- tukutane hapa"
Trump tower ipo wapi.Wamekufanyeje mkuu
Mkuu Kwani CDM wanauza??Trump tower ipo wapi.
CDM wanauza madiwani na wabunge ndo maana siipendi
Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
hahaaa daaahhAndika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.
Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.
Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.
![]()
Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.
daahh kuna baadhi ya watu umewagusa but hiyo sentensi ya mwisho hapo wamsema money penny bila shaka alipigwa ban yule...kusema kweli Tania yake ile haikuwa njema1. Attention whoring.
In any way and form. Kujisifia unatongozwa sana au unafanya mapenzi kwa wingi, kulalamikia kuumizwa wakati pindi mnapigana mashine hatukufahamu, kuna mjinga alikuwa na mtindo wa kuquote comments kibao alafu anaweka links za threads zake tukasome...
Upumbavu kama huo wa kutaka umaarufu hapa jukwaani.