Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika usichokipenda humu JamiiForums

Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.

Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.

Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.

7a697dd6db9c25517ae2466ce847b306.jpg

Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.
Simba analiwa? Stupid quote
 
Weka na tunavo vipenda...wengine hutajaona kinacho tuchukiza bado ila vyakupenda vingi
 
Andika Vitu Viwili Tu Usivyo Vipenda Humu Ndani.

Mimi Binafsi Sipendi Couple Ya Mahondwa Na Smart. Siwaelewi na Sitakuja Kuwaelewa.

Simpendi Vladmil Puttin Kwa Kujisifia Anatongozwa Na Wadada Wa Humu. Sijui Atakuwa Lini.

7a697dd6db9c25517ae2466ce847b306.jpg

Weka Usivyo Vipenda Humu ndani.
hahaaa daaahh
aiseeee
 
1. Attention whoring.

In any way and form. Kujisifia unatongozwa sana au unafanya mapenzi kwa wingi, kulalamikia kuumizwa wakati pindi mnapigana mashine hatukufahamu, kuna mjinga alikuwa na mtindo wa kuquote comments kibao alafu anaweka links za threads zake tukasome...

Upumbavu kama huo wa kutaka umaarufu hapa jukwaani.
daahh kuna baadhi ya watu umewagusa but hiyo sentensi ya mwisho hapo wamsema money penny bila shaka alipigwa ban yule...kusema kweli Tania yake ile haikuwa njema
 
Back
Top Bottom