Andiko la Ben Saanane akihoji kuhusu uhalali wa PhD ya Marehemu John Magufuli

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
22,269
Reaction score
58,563
Na, Ben-Rabiu Wa Saanane

Kuanzia nilipoibua mjadala wa Uhalali wa Phd ya Mhe.Magufuli niliacha rasmi kumu-address kama Dr.Magufuli na kutumia Ndugu au Mheshimiwa tu hadi itakapothibitika ni Halali.

Nimesoma Hoja ya Prof.Kitila kuhusu PhD ya Magufuli.

Prof.Kitila ni Rafiki yangu sana.Yeye ni kaka yangu na ananichukulia kama mdogo wake.

Katika Kuchangia Mjadala wa PhD ameandika "UDSM hakuna namna mtu kupata Cheti Fake na huwa hatuangalii sura ya Mtu...". Kwa hiyo. .. "PhD ya Magufuli haina kasoro"...

Vilevile kuna watu Mwanzo walisema masuala ya Machapisho hayana maana lakini cha ajabu wameweka waliyoita Machapisho ya Magufuli na pia kuweka Picha akiwa amevaa mavazi ya Graduation kama vile ndio Authentification ya PhD ya Magufuli.

Wengine wakaanza kusema Rombo ina matatizo hivyo niachane na PhD ya Magufuli.Utadhani kuhoji uhalali wa PhD ya Magufuli ndio kumeleta madhara Rombo.Wasomi wetu wengine wakoje?

Nataka kugusia hoja ya Prof.Kitila kuhusu kuwa hakuna namna ya kufanya Udanganyifu UDSM .

1-Prof.Kitila anaweza kuwa Mwaadilifu sana katika kusimamia taaluma na kazi yake kama Mhadhiri Chuoni.

Lakini ni kosa kubwa ku-assume kila mtu ni mwadilifu.

Tukienda hivyo tutaua nchi na ndio maana wengine tunasizitiza sana Kuimarisha Taasisi zetu na mifumo.

Hapo ni kama vile ku-assume kuwa kila mtu ni mpigaji.Hivyo tunasizitiza haja ya kuimarisha taasisi na mifumo ambayo itadhibiti mafisadi na watu wasio waadilifu baadala ya ku-assume kila mtu ni mtakatifu .

Kama watu waliweza ku-forge documents Serikalini na Kuchota Fedha Za EPA au ESCROW ni mechanism gani itakayozuia PhD za Mbeleko vyuoni kwetu hasa zinazohusu wanasiasa?

Tena katika mazingira yanayoashiria mbeleko kwa Mbebaji kumshusha aliyembeba nae akambeba kwa kumteua kushika ujumbe wa Bodi?

2-Kama Seif-Al Islam Mtoto wa Ghaddafi alikuja kuibuliwa kwa kashfa ya kuhonga na kupata PhD ya mbeleko Kule London School of Economics(LSE) sass UDSM ina mfumo gani thabiti wa kuepuka fraud kuliko LSE?

Kwa Mujibu wa Academic Perfomance Center chuo kikuu cha London School of Economics kilishika nafasi ya pili kwa miaka kadhaa mfululizo kwa ubora duniani wakati UDSM ikishika nafasi ya 1618 kati ya Vyuo 2,000.

LSE iko vizuri kiteknolojia na kitaaluma katika kuzuia academic Misconduct kuliko UDSM lakini bado Seif Al-Islam alifanya.

3-UDSM imewahi kukumbwa na staff waliofanya Udanganyifu kwenye taaluma na Prof.Maboko aliwahi kuutangazia Umma.

UDSM hii hii imeshawahi kutoa wanafunzi waliofanya udanganyifu na baadhi yao kuvuliwa Degree zao

Charles I . Ng'imba aliwahi kuvuliwa Digrii yake aliyoipata kwenye Graduation ya Tarehe 29 August ,1987.

Unasema haiwezekani?

4-Kuna hao walioleta machapisho waliodai ni Ya Magufuli na kudai kuwa alistahili PhD kwa sababu alishaandika tangu 2003.

Tena nimeona ameshirikiana baadhi na huyo Supervisor wake.

Sasa watuambie alifanya PhD by Publication?

Sweden ,Australia na hata Uholanzi(Najua Unafahamu) inaruhusiwa PhD by Publication.

Kwa faida ya mjadala tu: Ni kuwa PhD by Publication zinakusanywa paper zote na kuziandikia Covering Essay na jumla na paper iwe na maneno si chini ya 20,000 ikiwa condition na masharti mengine ya submission yapo constant.

Pia inazingatiwa ni paper ngapi umeandika mwenyewe na ni ngapi umeshirikiana(Co-Author).

Na katika kushirikiana ni ipi jina lako limekua la kwanza maana inabeba uzito wa synopsis.

Sasa Katika hizo Paper alizoweka the so called (Dr.!?) Chahali ni Tatu tu anazooneshwa kaandika yeye na zipo kwenye vijarida vya uchochoroni tu sio kwenye respectable Journals huko.

So swali la PhD Candidate huyu kuipata PhD kwa miaka 3 akiwa Part time Candidate kinyume na Prospectus halijajibiwa.

Ingawa Prof.Kitila umetoa maoni yako tu kama mchangiaji na Sio Authority ya UDSM au Supervisor wake(Ofcourse hawezi kujitokeza tena maana ni mteule wa Bodi) lakini naheshimu maoni yako uliyotoa kistaarabu bila matusi kama hao waliomtetea kwa vitisho na matusi kwa hoja zao za kula nae Canteen au kumuona amevaa vazi la graduation.

UDSM kama vilivyo vyuo vingine au taasisi nyingine nchini haina kinga thabiti dhidi ya Academic Fraud hasa zinazohusisha wanasiasa na vigogo serikalini.Hiyo hoja haijaleta uzito wa kutosha katika authentification ya PhD ya Mkuu wetu.

Tena nilicheka sana nilivyo-imagine jinsi kazi ya Literature Review ya Mkuu wetu ingefanana. With knowledge that Examiners may tolerate grammer idiosyncratic than any other mess.Sijui Lugha na VIVA ilikuaje. Don't joke! Ile lugha yake ile ...! Haya!

Hoja ya Prof.Buchweshwaija kuwa co-author kwenye paper yake kisha kuja kuwa Supervisor wake na kisha kuja kuwa mteuliwa wa Waziri aliyeteuliwa na yeye mwanafunzi wake tunaweza kuli-debate left-right-center hasa tunapoangalia mfumo wetu wa elimu na uadilifu.

Ofcourse nakiri kuwa wakati wa kuanza PhD yangu niliwahi kukuambia nilipata headache sana kuhakikisha kuwa napata Supervisor maahiri ndani yawanakamati.Maana uliwahi kufanya mchakato wa kujiunga na chuo hicho kabla hujajiunga Southampton University kwa PhD yako.

I knew as PhD candidate,Institution'll gain through my presence by gaining credibility,profile and funding. Why should I allow them to treat me as an inconvinient ,Incompetent fool? Si lazima nami niwe smart kujilinda?

So kwa Case ya Magufuli na SUP wake twaweza kui-debate kweli kuanzia co-authorship.

Sijui independence ya Mwanafunzi huyo ilikuaje hata kama ilikua ni Ph.D by Publication.

Ni vyema tu akajitokeza kutoa ufafanuzi au Chuo .Mbona lile la silaha alipohakiki hadi watu wengine walikua proud kuiweka picha yake na bastola kama Profile ya groups za Watsap?

Asante kwa kukoleza mjadala.Good day Prof.Baadae tena Kaka. ...

#MagufuliHakikiPhDyako

#MagufuliVerifyYourPhD

#MagufulideclareyourPaytubes

A Luta Continua,Victory Ascerta.....

Ben Saanane. Tarehe 29.10.2016
 
ok.🐒
 
Naomba kufahamu PhD ya Hayati ilikuwa Ina kasoro gani? Mimi Gen Z sifahamu lolote wajameni ..mnisaidie kujua pia Ben Saanane ndiyo nani? Na yupo wapi Kwa Sasa?
 
Ben Saanane ni marehemu kwasasa,alikuwa ni mmoja wa waandishi wa habari mwenye uwezo wa kuandika Makala yakinifu na uwezo mkubwa wa kuhoji Mambo kinagaubaga
 
Hakuna ushahidi wa moja Kwa moja
Ben Saanane baada ya kuandika hiyo makala alianza kupokea vitisho kutoka na alileta uzi wake humu, na inasemekana Magufuli mwenyewe alimunyooshea bastola Ikulu bahati mbaya ikafyatuka (triger) ikampiga Ben kichwani na jiwe alijutia hadi kifo chake maana alimuita kumuonya.
 
Ben Saanane baada ya kuandika hiyo makala alianza kupokea vitisho kutoka na alileta uzi wake humu, na inasemekana Magufuli mwenyewe alimunyooshea bastola Ikulu bahati mbaya ikafyatuka (triger) ikampiga Ben kichwani na jiwe alijutia hadi kifo chake maana alimuita kumuonya
(Na inasemekana)

Achana na hearsay za mitandaoni,hizi ni tuhuma zilizokosa ushahidi.

Kama kitaalamu boss
 
Ben Saanane aliuwawa na Mbowe ili kuchafua serikali ya Magufuli habari hizi ziliandikwa na gazeti la Mwanahalisi
 
Naomba kufahamu PhD ya Hayati ilikuwa Ina kasoro gani? Mimi Gen Z sifahamu lolote wajameni ..mnisaidie kujua pia Ben Saanane ndiyo nani? Na yupo wapi Kwa Sasa?
PhD thesis yake ni mbona nzuri tu ina title

The Potential of Anacardic Acid Self-Assembled Monolayers from Cashew Nut Shell Liquid as Corrosion Protection Coatings,

Yaani kwamba maganda ya korosho yana kemikali, zinazoweza kutumika kutengeneza kemikali nyingine, ambazo zinaweza saidia vyuma visipate kutu katika mazingira yanayopelekea kutu.

Mbona mm nimeiona nzuri tu au kwasababu sijasoma Chemistry chuo kikuu na sina PhD wala Masters
 
Naiomba niwekee hapa hiyo thesis yake, nijisomee. Huenda nikatoka na kitu
 
Alafu nilvyozingua sijaidawnlod nikaisoma.

Nimechukua title nikamwambia AI anisamarizie.

Ile nahisi ukiigugo utaiona pdf yake
 
Ngoja nikafanye utafiti nione.
 
Back
Top Bottom