Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Duuh shafii na huyo mchumba waende ustawi wa jamii!Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya shafii ni uchekeshaji, hivo wao hawakufurhishwa nayo. Wakabeba mtoto wao akaolewe na mwanaume mwingine.
Unaambiwa Binti kalia sana Kwa wazazi akaishi na mtu anae mpenda, lakini jibu alilo pewa ni kuwa akitoa mguu wake kwenda kuolewa au kuishi na shafii mchekeshaji, basi wao si wazazi wake tena na asikanyage nyumbani kwao.
inasikitisha sana, vijana oeni msikae timu kataa ndoa, vijana wanataka kuoa mnawanyanganya na kudai hawana hadhi. Daaah
Kaambiwa akifanya hivo, atafute wazazi wengineduh n noma, ila binti nae c agekaza, ameshindwa hata kutoroka na kurudi kwa mshikaji
Kesha olewa, akienda ustawi wa jamii, AJUE anaenda battle na wazazi wake, mana wao ndo pingamiziDuuh shafii na huyo mchumba waende ustawi wa jamii!
Bro masikini ana gariShafii bado ni kijana mdogo aache kulialia. Apambanie maisha yake awe na kipato imara kwanza. Kilichomponza ni umaskini.
wazazi watabaki kuwa wazazi tuu, hakunaga mzazi mwngn, wazazi wamefanya hvy kumtisha tuu na dogo akatishika kweliKaambiwa akifanya hivo, atafute wazazi wengine
Usifanye hivo min me, sisi ni kama kaka wa taifa usi sapoti hili jambo, umewafikiria bodaboda?Nawaunga wazazi wa huyo binti mkono , huyo mhuni anaeonekana bonge nyanya wa ni nini sasa🚮
Wazazi wa binti wapo sahihi , wazazi sio wajinga kuangalia future ya mwanae , huyo mashavu aache kulia lia ,apambane.Usifanye hivo min me, sisi ni kama kaka wa taifa usi sapoti hili jambo, umewafikiria bodaboda?
Alifanyaje 20%Afanye kama 20%
Kwenye picha inaonesha ni 23-26Huyo binti ana miaka mingapi mpaka analazimishwa kuolewa na mtu asiyemtaka??
Hahhahahaha bro uko serious?Bro masikini ana gari
Mkuu uko sahihi. Vijana wasilazimishe mambo yaliyoko nje ya uwezo waoWazazi wa binti wapo sahihi , mzazi sio wajinga kuangalia future ya mwanae , huyo mashavu aache kulia lia ,apambane.