Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

Andiko la mchekeshaji Shafii, limeniumiza sana mimi kama kijana

Hata mimi nai dharau na gari sina
Una changamoto mahala , huwezi dharau gari, kipindi nipo Zanzibar, boss alieniajili bilionea mwarabu alikua ana miliki spacio, huwezi amini kama ni tajiri mkubwa mpaka nikawa nashangaa
 
Back
Top Bottom