Andiko la Thadei Ole Mushi lilivyonifikirisha

Aliandika at gun point
 
Andiko hili linatufundisha kwamba tunapopatwa na matatizo , tusinyamaze , tufungue vinywa vyetu kuomba Msaada ili tuokolewe
 
Alitakiwa aseme ukweli ili asaidiwe , anayeendelea vizuri huwa anakufa ?
Huenda hata hilo bandiko hakuandika yeye. Labda aliandikiwa akiwa hajui chochote. CCM ni majanga. Hata Gambo ajiangalie sana. Makonda yeye alisema amenusurika mara kibao. Polepole akasema yeye hao wahuni hawamuwezi. Duuuh! Mwakyembe anamtukuza Muumba wake. Kolimba...
 
Mbona alikuwa mpambanaji mzuri wa kuipambania ccm?. Je, kuna kosa lolote recorded juu yake? Au WAHUNI?
Alikuwa na msimamo tofauti na chama chake juu ya suala la Katiba mpya na pia aliwahi kuhitilafiana na aliyekuea KM Chongolo, si unajua CCM ukiwa mkweli na muwazi unaonekana msaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…