Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Madrid au Juve, anaangalia patakapomfaa zaidi.Allegri si anakwenda real madrid? [emoji848]
Naunga mkono hojaWampe timu zidane waone maajabu.
Pirlo ni kama Lampard kwenye ukocha, waliwahi kuliko muda wao kufundisha timu kubwaPirlo pamoja na kuwa mchezaji mzuri na bora kwenye ukocha kafail kabisa. Kaanza vibaya, na hatafanikiwa kuwa kocha mzuri sababu kikosi alichokuwa nacho kilikuwa bora kuliko vikosi vya timu nyingine.
Ajiandae kucoach vilabu vya kawaida kama fiorentina, verona, genoa nk.
Hawezi kupata timu zinazotafuta ubingwa.
Bado haijawa confirmed ni tetesiAllegri si anakwenda real madrid? [emoji848]
Yah ni kweliPirlo bado mchanga ile Juve imekuwa kubwa kwake.